Kwa wanaume wa jf...

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Messages
31,214
Points
2,000

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2011
31,214 2,000
napenda msome maneno ya wimbo huu kwa makini.......

Woman"

I worked late but you didn't wait up
My bones ache, I'm cleaning the place up
Sometimes I don't even know why I care

I sit down take off my make-up
I lay down but you don't wake up
Sometimes I wonder if you know I'm there

I can't remember the last time you
Told me I'm beautiful, and I can't remember
Last time you said anything at all

I'm a woman
A woman with a heart
And I deserve your all
I'm not some girl who don't know what she wants
I'm a woman
And I need to be touched
And I need to be loved
'cause being just your woman is not enough

Now I hope that you don't wake up
When it's too late to make up
You'll be the one that's alone and that's sad

In time you'll find somebody
The truth is she'll never be me
And that's when you're going to miss what we had

When all I really needed to hear was "you're beautiful"
All I really needed to hear was anything at all

I'm a woman
A woman with a heart
And I deserve your all
I'm not some girl who don't know what she wants
I'm a woman
And I need to be touched
And I need to be loved
'cause being just your woman is not enough

I'm not your friend who only needs you sometimes
And if I'm your lady
You got to treat me like...

I'm a woman
A woman with a heart
And I deserve your all
I'm not some girl who don't know what she wants
I'm a woman
And I need to be touched
And I need to be loved
'cause being just your woman is not enough

A woman needs your heart
A woman needs your all
A woman needs your everything
I'm a woman
And I need to be touched
And I need to be loved
And I deserve your everything
I'm a woman
I'm a woman
I'm a womandedication hii ya pekee iwaendee
gfsonwin Kongosho snowhite na pacha wake SnowBall king'ast muke ya Paw , amu Madame B kerucee Natalia muke ya mzungu mutoto ya fisadi cacico mke mwenza Yummy mke mwenza Preta Zinduna mamaa wa talk shoo kabambe

bila kusahau wakaka ambao ndo walengwaaaaaaaaaaaaaaaaaa SnowBall Nicas Mtei Asprin my hubby Dark City BAK Bishanga Watu 8 matatiz Judgement Boflo Mtambuzi Ruttashobolwa ruttashubanyuma Erickb52 Baba V

bika kuwasa Ciello, charminglady na sweetlady.....

Ujumbe uwafikie na uwaguse

nawatakia mwisho wa mwezi mwema......
 
Last edited by a moderator:

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
84,710
Points
2,000

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
84,710 2,000
acha masihara Nyani Ngabu, toka lini kujitoa na kuonyesha mapenzi bin mahaba kwa mwenzi wako ikawa mume bwe.ge?????
Ohooo...hivi unadhani natania? Wa hivyo mbona wapo wengi tu.

Haya mambo ya mapenzi hayanaga kanuni...hivi hujawahi kuona mdada anayetendewa kama malaika anamuacha jamaa yake na anaenda kwa bad boy?
 
Dark City

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2008
Messages
16,272
Points
1,500

Dark City

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2008
16,272 1,500
Ahsante sana BADILI TABIA,

Uzuri ni kwamba wale wanachama wetu wa 1947 club wanatimiza majukumu yao pasi na shaka!!

Huwa nawashangaa watu wanaoiga bila kuuliza hadi unamkuta mtu kamnunulia mpenzi wake kadi imeandikwa..."Just for you my darling or sweetheart"..

Bibi is not "just bibi"....she is really bibi, the mother of my lovely sons, and a sweet grand ma!!

Ngoja niishie hapa kwani natamani kwenda kumuimbia bibi wimbo wakati sauti sikupewa na Muumba!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:

King'asti

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Messages
27,725
Points
2,000

King'asti

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2009
27,725 2,000
Sie as in the female component of the homo sapiens species.

Majority of 'you' as in the male component of the same, are just plainly selfish. A woman would cook, and serve you food but you will fetch only your water. And spare me the civilised grin ati umeendelea sijui nini! Aaagj!
"Sie" wewe na nani? AshaDii na Mwali?:becky:

But seriously, there is nothing selfish in what I wrote. I just kept it 100.
 
Last edited by a moderator:

King'asti

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Messages
27,725
Points
2,000

King'asti

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2009
27,725 2,000
Evil me, nikiona mabinti wanatoka na sugar daddies huwa najiangalizia na kusema labda wana sababu. Wanaume wa siku hizi babu tukiwachekea hadi kodi ya pango na skuli fees analipa mkewe. Na bado akucheat kwa madai huna bidii 6*6 na haumjali. Ntajali saa ngapi nikitoka kazini watoto wanaita mama, kila kitu ni cha kusimamia. Wewe utoke bar saa tano na kuja 'kujaliwa' tu.
Ahsante sana BADILI TABIA,

Uzuri ni kwamba wale wanachama wetu wa 1947 club wanatimiza majukumu yao pasi na shaka!!

Huwa nawashangaa watu wanaoiga bila kuuliza hadi unamkuta mtu kamnunulia mpenzi wake kadi imeandikwa..."Just for you my darling or sweetheart"..

Bibi is not "just bibi"....she is really bibi, the mother of my lovely sons, and a sweet grand ma!!

Ngoja niishie hapa kwani natamani kwenda kumuimbia bibi wimbo wakati sauti sikupewa na Muumba!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:

Dark City

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2008
Messages
16,272
Points
1,500

Dark City

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2008
16,272 1,500
Evil me, nikiona mabinti wanatoka na sugar daddies huwa najiangalizia na kusema labda wana sababu. Wanaume wa siku hizi babu tukiwachekea hadi kodi ya pango na skuli fees analipa mkewe. Na bado akucheat kwa madai huna bidii 6*6 na haumjali. Ntajali saa ngapi nikitoka kazini watoto wanaita mama, kila kitu ni cha kusimamia. Wewe utoke bar saa tano na kuja 'kujaliwa' tu.
Mbona kuna wasichana wengi tu wanatafuta kazi?

Mie sikuoa mfanyakazi....mtoto wa watu hakuja kwangu kuota makarikenya hadi miguu inakata kama viwembe!!

Ila nitamshangaa mwanamke wa kileo (tena anayefanyakazi) kama atakubali kuwa kama mtumishi wa ndani....

Atafanyakazi na kuchoka weee,.....wakati jamaa likifika home litataka kupiga 120 minutes!!

Babu DCC
 
Jiwe Linaloishi

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Messages
3,736
Points
1,225

Jiwe Linaloishi

JF-Expert Member
Joined May 24, 2008
3,736 1,225
Evil me, nikiona mabinti wanatoka na sugar daddies huwa najiangalizia na kusema labda wana sababu. Wanaume wa siku hizi babu tukiwachekea hadi kodi ya pango na skuli fees analipa mkewe. Na bado akucheat kwa madai huna bidii 6*6 na haumjali. Ntajali saa ngapi nikitoka kazini watoto wanaita mama, kila kitu ni cha kusimamia. Wewe utoke bar saa tano na kuja 'kujaliwa' tu.
hapo umenena mpaka roho yangu imeingia huruma.... Tupo tunaojitahidi kujali sema ndio hivyo kwenye sakari hamna walambaji..
 
Forum statistics

Threads 1,392,869
Members 528,740
Posts 34,120,589
Top