Kwa wanaume wa JF

Ndiyo, wala sio mwanaume. Ni demu mzuri sana kanipa namba nimeicheck jina na whatsapp. She's beautiful

Tatizo mm sasa hivi nipo committed na my baby. Lakini ukweli yupo vizuri sana
Waambie hao au wape ushahidi wa sms ili waamini.

Wanadhani kila jf memba mwanaume.[emoji23]
 
Jina la member hilo?
Mabusu? Or nakubusu?
Ilo jina member wa JF huo ubwabwa alafu unasema demi mhuni nimetiririka swaga zangu bila kujua nakuja kushtuka kumbe bwabwa acha uanze kunitumia k*****ndu lake aiseeeee nimekoma🤣🤣
 
Ilo jina member wa JF huo ubwabwa alafu unasema demi mhuni nimetiririka swaga zangu bila kujua nakuja kushtuka kumbe bwabwa acha uanze kunitumia k*****ndu lake aiseeeee nimekoma🤣🤣
Aiseeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…