Kwa wanaume wa JF

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa nusu niangushee cm,
Waja mmeamua leo,
 
MREJESHO.

guyz hadi ninapoandika muda huu,kwenye pm yangu Ina watu 30 humu kwenye comments wanajiongelesha ongelesha[emoji13][emoji13]

Ila kinaendelea vizuri wapenzi wangu soon I will come to give a feedback[emoji5][emoji5]

Kiukweli jf man ni vichomi.

Nicheke mie[emoji23][emoji23][emoji26]
 
sasa kama wewe si nakamata mkono tu hadi magetoni nafanya yangu na kwa wema tu nakuachia teni tunasambaaaaa .......

habar ya kutongoza kwan bado iko?
Njoo uone kujisifia tu kwa comments section[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa nusu niangushee cm,
Waja mmeamua leo,
Haiwezekani mwanaume mzima unaringishia wanaume wenzio kijambio..🙌
 
Halfu mijianaume ya jf haijui hata kutongoza mtu a nakuja na swaga ya kunipa hela nani kamwambia mm nina njaa.
 
Ndiyo, wala sio mwanaume. Ni demu mzuri sana kanipa namba nimeicheck jina na whatsapp. She's beautiful

Tatizo mm sasa hivi nipo committed na my baby. Lakini ukweli yupo vizuri sana

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wewe wachuze wenzio wenye uchu wakapigwe na kitu kizito uko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…