Kwa wanaume wa JF

Inasikitisha sana mkuu. Ila mapunga yamekuwa mengI sana. Ukizama tik tok na fb machoko kama wote na jamii hata haisahangai sasa yamekuja kwa kasi jf
Hali imekuwa tete duniani

Hawa viumbe nikiwaona huwa hasira inanikaba koo🤣...na najitahidi kutoonyesha dharau na sometimes wanachukulia kama kuwanyanyapa kutokana na sehemu maana sheria inawalinda hawa wapuuzi
 
Hali imekuwa tete duniani

Hawa viumbe nikiwaona huwa hasira inanikaba koo[emoji1787]...na najitahidi kutoonyesha dharau na sometimes wanachukulia kama kuwanyanyapa kutokana na sehemu maana sheria inawalinda hawa wapuuzi
Kiukweli kama dada mzuri nachukia sana kumuona mwanaume anafanyiwa vitendo vya ukatili vya kuingiliwa nyuma inasikitisha sana
 
Upweke unakutafuna wewe, ngoja vijana waje wakunyooshee na pipe...😜
 
Hali imekuwa tete duniani

Hawa viumbe nikiwaona huwa hasira inanikaba koo🤣...na najitahidi kutoonyesha dharau na sometimes wanachukulia kama kuwanyanyapa kutokana na sehemu maana sheria inawalinda hawa wapuuzi
Wanatia hasira sana, ukiwaona jinsi wamejipara na kujipodoa na kubinua vitako vyao

Ila cha kushangaza jamii kama imeanza kuwakubali hivi kukemea kumepungua
 
sasa kama wewe si nakamata mkono tu hadi magetoni nafanya yangu na kwa wema tu nakuachia teni tunasambaaaaa .......

habar ya kutongoza kwan bado iko?
 
Vipi ushafika unipe mrejesho ulichokutana nacho?[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo, wala sio mwanaume. Ni demu mzuri sana kanipa namba nimeicheck jina na whatsapp. She's beautiful

Tatizo mm sasa hivi nipo committed na my baby. Lakini ukweli yupo vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…