Kwa wanaume wa JF

Una shida kubwa. Emotional problems, na usipokuwa makini unaliwa kimasihara.
Jamani.

Sidhani kama kuna mwanaume wa jf anayejua kutongoza.

Sisemi kwa ubaya ,ila wanaume wa jf wengi kuandika ila vitendo asilimia sifuri.

Kwa Yoyote atakayeweza kunitongoza namkaribisha PM.

Uwe na swaga.

Usiku mwema[emoji26]
 
Humu mda mwngn tunasoma thread tunapita kimya kimya hata unakosa Cha kucomment! Ngoja nisiongee jambo ila kuna mbuzi shenzi type iliniomba nifungue PM nikamsikiliza🤔🤔🤔.......itoshe kusema mirembe ina graduate wengi Sana
Umezidi kuandika namba ndefu unapotoa ushauri wa kibiashara matokeo yake hayo 😂😂😂
Ko ilikuwaje sasa uko piemuni bro? Emu nipe intro sisterii wako bas
 
Yaani utongozwe hata sura tu siijui????
Wamaume dhaifu tu wasiojielewa ndio utakao wapata,
Pengine una vigimbi kama vya Nsajigwa,
Mwanamke ambaye simu zinaita hana huu upuuzi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…