Kwa wanaume wa JF

Tutaona mengi sana mpaka kulazimishana kutongoza tena khaaaaa....!!! haya wasio kazi za msingi nendeni mkamtoe mkosi dada wa wa watu ila msiwe serious mana anapima anaejua kutongoza.
 
Kuna kamoja kalijichanganya, nikasema haka ni ka ***** kabisa kanajulikana alafu tena anaanzisha ugomvi na mm, ngoja nimmalize tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila shem wee mkorofiii, khaaah
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kutulia mpk mume anipe mimba, nisikie kichefu chefu niwachukie wote
Uchukie had tumbo lako, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Eeeh Ila bongo wanakera...... Wapo straight kibao tuu na wanaliwa though they are masculine..... Ila ety hawa wa magomen wanakera ndo maana nilikataa kwenda baa za uko, sijui Riverside, kheee awa wa bongo hamna kitu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu mnachekeshaa mnoo.
Hata mbele mbna wako girlish, km kina Sam Smith na lil nas.

Kila aina ya Gays wako everywhere.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…