Kwa wanaume wa JF

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwendraaaa
Angekuwa demu mzuri ungerudi hapa kujiongelesha?? Sema umekutana na mwana mgambo wa taliban ndevu nyingi [emoji2222]
Mm simhitaji nilikua nataka tu kuthibitisha.
 
Ilo jina member wa JF huo ubwabwa alafu unasema demi mhuni nimetiririka swaga zangu bila kujua nakuja kushtuka kumbe bwabwa acha uanze kunitumia k*****ndu lake aiseeeee nimekoma[emoji1787][emoji1787]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka khaaaaa!!!
Emu weka screenshot kidogo tuone mambo basi
 
Kijana anamtaka member mwenye jina hilo
Kasema mwaka hauishii huu lazima aitwe mrs wake.
Kijana yupiii? Na anamtaka member yupii mwenye jina, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo umeona kila mtu aliyekuwa jf yupo kwa ajili ya kutongoza

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka khaaaaa!!!
Emu weka screenshot kidogo tuone mambo basi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uziii utafungwa huu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka khaaaaa!!!
Emu weka screenshot kidogo tuone mambo basi
Vitu upendavyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo hata akisema atakutumia saa 9 usiku, upo tayari kuamka[emoji23]
 
Alooo mwenyewe nashangaa yani haina kuogopana ss hivi humu [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu washavurugwa sahivii.
Kila mtu anawaza jua kuchomoza na kuzama tyuuh.
Kusibiri kufa kazi uduguuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…