Agizo kwa Wanaume wa Dar toka kwa Wanaume wa Mikoani.
Kumekuwa na Tabia kila msiba unapotokea Dar mnajazana kuja kijijini kuzika...
+Mkifika hamchimbi kaburi.
+Hamumlilii marehemu
+Hamumswalii marehemu
+Hamumfukii marehemu
Mnachokiweza na kukaa na kupiga soga. Mmefanya misiba ni vijiwe vya kuzungumzia siasa.
Sasa tunasema hivi. Msiba ukitokea mbaki huko huko . mkija hakuna mnalofanya..
Mfano:
#1. Hata ukifika muda wa chakula unasikia "Wageni kutoka dar waanze kula kwanza"
#2. Siku moja tupo tunachimba kaburi, Tukaletewa maji ya Kunywa ya chupa.. Mzee mmoja akasema "maji ya kunywa yamenunuliwa kwa ajili ya wageni wa dar tu"
Wanaume wa DAR utawataka kwenye mabasi ya mwendo kasi. Ni dakika 30 tu hadi town. Wanavyokimbilia kuwahi viti ili wakae ni aibu. Wamelegea mno jamani.
Kauli hii imetolewa na:
Umoja wa Wanaume wa Mikoani. Wanaotambua maana ya "Uanaume"
Wanaume wa Dar na mifano ya Taarabu!!Kwani uanamume unapimwa kwa kuchimba makaburi,kulia au kupanda mwendo kasi?
Kwa kuchukua muda wako tu kuandika riwaya hiyo hapo juu,tayari ushatutia mashaka juu ya uanamume wako.
Mwanaume hajisifii kama Hadija kopa,mwanaume wa kweli hawezi kudharau uwezo wa mwanaume mwenzake.
Ni mashoga tu na wanawake ndio wenye tabia ya kutambiana nani yupo juu ya mwenzie,nani ana uwezo wa kutemebea na wanaume wengi n.k
Wanaopaswa kupewa kipaumbele ni watoto na wanawake. Ukiona ki-mwanaume kinapewa kipaumbele chukua tahadhari.Wanaume wa mikoani wana wivu wa kike balaa... Hilo ndio tatizo la kushinda mashambani na mundu mkikata majani ya ng'ombe na wake zenu... Mwisho wa siku akili zenu zinafanana.
Sasa mtu anaona wivu mtu akipewa maji ya chupa [emoji23][emoji23][emoji23], mtu anaona wivu wanaume wa daslama wanavyopewa priority kwenye maakuli msibani!!!!
Kiukweli acheni ulugaluga...
Anausongo, akitoka kuchimba kaburi anakuta minofu yote ya nyama wamewekewa wanaume wa Dar😀😀😀Wanaume wa mikoani wana wivu wa kike balaa... Hilo ndio tatizo la kushinda mashambani na mundu mkikata majani ya ng'ombe na wake zenu... Mwisho wa siku akili zenu zinafanana.
Sasa mtu anaona wivu mtu akipewa maji ya chupa [emoji23][emoji23][emoji23], mtu anaona wivu wanaume wa daslama wanavyopewa priority kwenye maakuli msibani!!!!
Kiukweli acheni ulugaluga...
Teh, teh, teh kumbe ulafi ndio unaowasumbua!!!Anausongo, akitoka kuchimba kaburi anakuta minofu yote ya nyama wamewekewa wanaume wa Dar😀😀😀
jibu hojaWanaume wa Dar na mifano ya Taarabu!!
...haha, exactly haya ndo maisha yetu ya selfie
Duh yaani mwanaume wa dar kawafunika uzuri hadi dada zake
Alafu eti wakwambie chimba kaburi[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] wanamatatizo sizani ata jembe Kama mwaweza shika...haha, exactly haya ndo maisha yetu ya selfie
.jembe la nini wakati mnatuketea kila kitu huku, tena mnachagua vile vilivyonona, kwanza huku kila sehemu lami baabAlafu eti wakwambie chimba kaburi[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] wanamatatizo sizani ata jembe Kama mwaweza shika