Kwa Wanaume Tu


Namba 4 lakini pia mkapime
 

What if aliweka ugumu kwako kwa sababu tu hakukuelewa we ukadhani ataweka ugumu huo huo kwa mwingine kumbe huwa anampenda huyo mtu siku nyingi so siku atapomtongoza kwake yeye itakuwa dream come true na akakubali fasta!
 
Maharage ya mbeya ndo mpango mzima hakuna usumbufu,mnamalizana kila mtu na hamsini zake,no streas at all
 
....ngoja leo niwe MSOMAJI TU bila kukomenti ili nikawafunze wadogo zangu na wanangu waweje pale wanapotongozwa....lol...
 
No 2 ndo mpango mzima
No 5 ni mwanamke wa ovyo sana nionavyo mimi, Anatufanya wanaume tuwe wazinzi kila kukicha. Hana maana hata chembe. Yaani mimi hata nimpende vipi mwanamke akiwa maharage hamu yote inaniisha. Alafu baadae anakuja eti kanichafua na kuniacha.

Mtoa mada ulifaa uitwe TAJIRI WA AKILI.
 
mimi hata sijui nampenda nani kati ya hao hapo juu, wengine tunaoteshwa umfate yupi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…