Nilikuwa nasubiri wanawake waliokuwa wanatuchungulia humu waondoke ndio nimwage kaushauri. Hebu angalia vizuri washaondoka?
Yaap. Sasa sikia. Kwanza jifanye unashangaa, halafu vua nguo kweli, wakati akikutazama kwa kushangaa na kuanza kupanick na kupiga kelele, angua mzinga wa kilio bila kujali majirani watasikia wala nini.
Lia mpaka ashangae kilio badala ya alichokiona, halafu jifanye unashangaa vibaya mno unachokiona. Halafu piga kelele ''nimelogwa, mke wangu nimelogwa, huyu mwanamke alikuwa ananitaka muda mrefu nilipomkataa alinitishia kwamba angeniloga, nikadharau, mke wangu ameniloga. Alisema hata uume wangu ana uwezo wa kuuamisha. uuuuuwiiiii, nakufaaa'' Atazima fegi nakwambia, ataogopa majirani wasijesikia kinachoendelea. Halafu ishu lazima ife. Utasikia ''atanijua leo kuwa mi natokea desh desh desh, lazima niende kwa desh desh desh.''
Lakini baada ya hapo vunja uhusiano na huyo changu.