Kwa wanaume tu!

Mtanisamehe tu nimeingia ila nimefumba macho wajameni.

Duh huyo 'mwizi' mgomvi!! Mie ningekuwa mke ningemjibu
' Umetuharibia wenyewe twapenda viwanja vyenye majani, vipara vitatuumiza'

Halafu mume ntakusubiria kitandani usiku theni nakunyoa upya huku nikwambia kwa upole na mahaba mazito....
' Huyu amekunyoa vizuri ila hajamaliza vizizi, kwa hali hii zitaota kesho asubuhi ngoja nikusawazishe!!'

Eh kumbe waliulizwa wanaume!!

ndiyo ni kwa wanaume tu, lakini tnashukuru umepita manake kwa solution uliyoleta kwnza ni peaceful halafu ndiyo inayopenya hadi ndani zaidiya akili na moyo wa mwanume na nakuhakikishia ukifanya hivyo huyo mumeo umemponya milele na jinamizi la yumba ndogo.

hebu ichukue hiyo solution yako ichanganye na yangu niliyoitoa hapo juu, halafu niambie tukibehave namna hiyo nadani ya ndoa, ni ndoa ngapi zingekuwa na magomvi? ngapi zingeathirika na nyumba ndogo?

sasa kumbe matatizo tunasababisha sisi wenyewe kwa kushindwa kukabili changamoto za ndoa , fikiria huo mwenzenu anataka kumvulia nguo sebuleni!!!!!!!! hivi akipigwa teke la punda atamlilia nani? hata kama mwanume ana kosa, heshima yake bado iko palepale, huwezi kumvua nguo sebuleni........... tena ukiwa unafoka..............., tunajitia visirani, wenye hasira, wababe nk matokeo yake ndo tunaharibu kabisaaaaaaaaaaaaaa.....................
 
Halafu mume ntakusubiria kitandani usiku theni nakunyoa upya huku nikwambia kwa upole na mahaba mazito....
' Huyu amekunyoa vizuri ila hajamaliza vizizi, kwa hali hii zitaota kesho asubuhi ngoja nikusawazishe!!'
Nna wasiwasi hapo dah lazima ntajua tu mh huyu ckunyoa tu ataikata kabisaa kisha ampigie huyo shosti kuwa wewe ulinyoa mi nimekata kabsaa tuone utadumbukiza nn sasa! teh teh
 
Hii ni ya kweli na imetokea hivi:
Njemba imekwenda kwa hawara,katika malavidovi ikanyolewa nywele za chini.Akiwa njiani anaelekea nyumbani hawara kampigia simu Bi Mkubwa "haya sema sasa,hata kumnyoa mmeo mananihii hujui,anarudi huyo,angalia nilivyomrembesha kwenye nonino,eheee halo halo". Mzee mzima kuingia tu sebuleni mama uzalendo ukamshinda akaona hata asisubiri mzee aende bafuni ili amkague vizuri,kamdaka hapo hapo sebuleni, 'vua mme wangu,nakwambia vua hiyo suruali',mwanzoni jamaa alifikiri dhihaka lakini alivyocheki sura ya mamsap ikam click akajua hapa kimewaka! swali,mshikaji ungekuwa wewe hii soo ungeipangua vipi?

Bishanga,

Huyo jamaa kapigwa 3-0. Ila amelamba bingo, kwa sababu huyo mwizi (nyumba ndogo) amejikamatisha na kutia mchanga kitumbua. Huyo bwana awe mpole hata kama atachapwa viboko kama tulivyokuwa tunacharazwa enzi za primary. Vikipoa tu, yeye na wife wake hao wanaenda kupata dinner. Ila huyo mjinga inabidi akauguze maumivu na aanze tena kutafuta mume wa mtu mwingine. Kwa mwendo huo atawamaliza au siku yake ya 40 itafika kabla hata hajafika nusu ya lengo lake!
 
Nna wasiwasi hapo dah lazima ntajua tu mh huyu ckunyoa tu ataikata kabisaa kisha ampigie huyo shosti kuwa wewe ulinyoa mi nimekata kabsaa tuone utadumbukiza nn sasa! teh teh

Kama hiyo itakutia shaka basi nitachukua poda nikwambie
'Baby huwe unamwambia akimaliza kukunyoa akupake poda au after shave lol usijepata vipele mpenzi wangu' taratibu nakupaka poda ah kisha navuta mto nalala. Peacefully.
 
Nna wasiwasi hapo dah lazima ntajua tu mh huyu ckunyoa tu ataikata kabisaa kisha ampigie huyo shosti kuwa wewe ulinyoa mi nimekata kabsaa tuone utadumbukiza nn sasa! teh teh

Aisee! This is a possibility ujue! Mungu apishie mbali!
 
Wanaume je mnawanyoa wenzi wenu?

Aaah SAAAAAAAANA - Time table ipo clear tu - imebandikwa kwenye wardrobe yake - akifungua anajua leo ni siku ya HOUSEKEEPING!

Hata kwenye reminder ya simu zetu (SIEMENS S10) tumeweka reminder pia!
 
Mtanisamehe tu nimeingia ila nimefumba macho wajameni.

Duh huyo 'mwizi' mgomvi!! Mie ningekuwa mke ningemjibu
' Umetuharibia wenyewe twapenda viwanja vyenye majani, vipara vitatuumiza'

Halafu mume ntakusubiria kitandani usiku theni nakunyoa upya huku nikwambia kwa upole na mahaba mazito....
' Huyu amekunyoa vizuri ila hajamaliza vizizi, kwa hali hii zitaota kesho asubuhi ngoja nikusawazishe!!'

Eh kumbe waliulizwa wanaume!!

Ni wazo zuri ila nina wasi wazi na utekelezaji wake. Ili ufanye hayo yote baada ya kupata confirmation kwamba umeibia (tena kito cha thamani kuliko vyote) inabidi uwe na akili kama za nyoka na uvumilivu kama wa kibaka anayenyatia cheni ya mpita njia!! Inahitaji nguvu za roho wa kweli!
 
Kama hiyo itakutia shaka basi nitachukua poda nikwambie
'Baby huwe unamwambia akimaliza kukunyoa akupake poda au after shave lol usijepata vipele mpenzi wangu' taratibu nakupaka poda ah kisha navuta mto nalala. Peacefully.

yaani, hakuna kunanilii? unipake poda na aftershave kisha nikuangalie tu umelala 'kwa amani'? haiwezekani....ni kama tambi na mboga ya majani!
 
Back
Top Bottom