Kwa wanaume tu!

...nakunyoa upya huku nikwambia kwa upole na mahaba mazito....
' Huyu amekunyoa vizuri ila hajamaliza vizizi, kwa hali hii zitaota kesho asubuhi ngoja nikusawazishe!!'

hapo utamuua jamaa kwa pressure!!

HAHAH hii imekaa poa sana
 
Hiyo Avanta yako imenikumbusha 14th February

Anyways ndani ya mada - Nadhani wanawake wengi ni WAVIVU wa kunyoa naniiii za waume/wenzi wao!
umwinyi mwingine too much bana.
yangu nanyoa mwenyewe, yake pia.
 
Actualy what happened jamaa alipoona timbwili limepamba moto alichomoka akaenda nje na kumpigia simu ya SOS Best Man na alimsubiri nje hadi alipofika.Baada ya kumweleza kisa kizima na kukiri kuwa kweli huko down ni kama baby aliyezaliwa leo basi Best Man akamshauri jamaa aingie mitini hadi ziote ili kuua ushahidi. Hadi tunavinjari leo kwenye JF njemba haijarudi nyumbani,ndugu wakimpigia simu anasema ana roam kwenye Celtel kwani yuko Nairobi,kwa marafiki anasema eti heri nusu ya shari kuliko shari kamili!
 
so wewe ni 'mkubwa' kwa maana ya kutangulia kuzaliwa wakati wa delivery but kiumri si ni sawa jamani?
eeeh sasa yeye si alitangulia kuiona njii
mie bado mpaka baadae ndo ntakuwa mkubwa
 

hahah sasa huu ufumbuzi mwingine bana....sasa akipotea si ndo itaonekana kabisa kuna kitu alikuwa anaficha!
 
hahah sasa huu ufumbuzi mwingine bana....sasa akipotea si ndo itaonekana kabisa kuna kitu alikuwa anaficha!


Huyo jamaa lofa kweli. Kama alijua hana kifua cha kuhandle hayo mambo kwa nini alianzisha hizo biashara. Natamani angepata kibano kama anavyosema Nyamayo. Yeye badala ya kukabiliana na tatizo ndo analikimbia; nyau mkubwa huyo!!😕😕
 

Lol!!!
 
...hakuna ujanja zaidi ya kumwambia ni kweli ulipitia Salooni ila bahati mbaya hawana Wax!
 
...hakuna ujanja zaidi ya kumwambia ni kweli ulipitia Salooni ila bahati mbaya hawana Wax!
Kwa hiyo simu imepigwa na mnyoaji wa saluni? Tutakwenda wote nami nikanyolewe huko!
 
subuthu mwanaume gani atakubali kuweka makende yake hewani kwa style hii ati unyolewe bi mkubwa anaweza ondoka na ma***bu plus ududu kwa ghadhabu! Unachezea wewe!? unahatari kijana!🙄 hapa cha kufanya kama mimi ningekimbia pindi ninapoambiwa nivue!
 

Ah............ unanunua kesi nyingine.
 
Hiyo mimi ningeipangua vibaya sana,
Kwanza kosa la huyo Mkewe kumwambia avue sebuleni ni kosa ambalo lingenisaidia mimi.
Kwanza siku zote tunavulia nguo chumbani kwetu leo iweje nivulie sebuleni, Kwanza ningemchapa kibao kitakatifu akazindukia Hospitali.
Na ikawa ndio mwisho wake wa mzaha kama huo.
Mwanaume ni Mtawala hazihakiwi.
 

Hivi wa hivi bado wapo dunia hii? mbona mnaaibisha jinsia ya wanaume watu kama ninyi? A real husband admits pale anapokosea au kama si kukubali basi hukaa kimya kwa kuwa amekosea kweli.

Kupiga ni udhaifu wa hali ya juu... tena kwa kosa ulilolifanya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…