Kwa wanaume tu.

wanaume wote wangekua wanaelewa hili,duniani pangekua raha mustarehe
 
Tena huwa nakutafuta sana nikunyanyase weye...hapa nishakuundia zengwe, shem lazima uhame pale nyumbani.

jamani shem usinifanyie hivyo!! ntaenda kuishi wapi sasa! nivumilieni tu.
 
jamani shem usinifanyie hivyo!! ntaenda kuishi wapi sasa! nivumilieni tu.

Haya ngoja nikuache shem, nimesoma uzi maa mbili mbili nikakuonea huruma...tumeaswa tuwaheshimu nyie Wabeijing!
 
MKUU UKO SAWA...!
Kufanya hivyo itapunguza migogoro na itatuongezea angalau siku za kuishi.


 
we umetoka wapi tena humu, hatimae unaona unatukanwa na ndio ukweli au tukupe takwimu za research...!?
 
Mkuu kwamtoro .. Kwa mantiki hyo nafikiri wanaume nao wana siku yao moja katika kila mwezi ya kuwa machizi.

Na katika mwezi huu .. Uchizi wako umeangukia leo.

Kwa hyo yatupasa sana kuwa makini na wewe leo hii.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Duh kama hii ni kweli basi wanaume woooooote tunahitaji kozi maalumu ya kuishi na watu wenye akili kama hizooooooo
 

Issue hapa ni kukubaliana na ukweli, soma biology utaelewa zaidi
 

Kwamtoro, pole sana na utubu katika hilo,maana unamtukana Mungu wako, binadamu wote tumeimbwa kwa mfano wa Mungu, so unataka kuniambia Mungu ni chizi!!we are sorry, sisi sio machizi, kama ni uchizi kichaa unaongelea, kana kwa jina la YESU AU MTUME!!!
 
Ni vizuri kujifunza kuishi na mwenzako na kujitahidi kuyabeba mapungufu yake kwani huo ndio utimilifu wako. Kwa upendo tutayaweza yote.
 
Mi navojua binadamu wote wanaasilimia flani ya uchizi.
 
na wanaume wanapatwa uchizi baada ya siku ngapi? wanawake oyeeeee (lol! sorry kwa kuingia pasipo nihusu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…