Siku mkiachana unaweza jikuta unaufagio na frampeni tu..😂 chezea wanawake wewe..Kwanini?
😅😅oeni tu.Unasubiri mpaka umiliki kitu gani ndipo uoe? oa tu vingine mtashirikiana na mkeo kutafuta,utazeeka ukisubiri hela.
Ukipata mke bora hata maendeleo utayapata haraka.
View attachment 1583481
It's a trap
hakuna raha yoyote ukiwa single.kwanza akili inayoinakuwa single inalalaKuwa Single nayo...
Ina raha yake...
hakuna raha yoyote ukiwa single.kwanza akili inayoinakuwa single inalalax
mkuu usibishe nitajie hata mtu1tu aliefanikiwa sana kimaisha ambaye yupo single! Nais jibu ni hakuna!🎤📢📢vijana tuoe maisha ni haya hayaAkili haijawa kudumaa au kukosa kufikiri eti kisa uko alone...
Tunaona tu ili kuzibiti mihemko ya zinaa ,na kuleta jamii pamoja tofauti na hapo ,hakuna madhara, adhabu wala sheria itakayo kukataza kuishi single...
mkuu usibishe nitajie hata mtu1tu aliefanikiwa sana kimaisha ambaye yupo single! Nais jibu ni hakuna!🎤📢📢vijana tuoe maisha ni haya haya
sawa mkuu ngoja me ningie kwenye icho kifungo nimechoka maisha ya usela🚶🚶Ngoja nikupatie baadhi yao...
Sir Issac Newtown.
Nickolas Telsa.
Leonard o Da vinc.
Papa wote wa romani.
Albart estan.
Michalengelo.
Jesus Chris..
Mtume Muhammad'
Yani mkuu kiufupi familia Ina kunyima kutumia uwezo wako wote wa kufikiri, kutafakari yale yakupasayo kufanya
Ndoa ni kifungo...🤫🙊🙉
🏃🏃🚶🏻♂️Mbeleee
😅😅😅hatarii