Kwa wanaume tu

Mtumiabusara

JF-Expert Member
Nov 18, 2009
473
40
TO UNDESTAND WOMEN 2.jpg
hiki ni kitabu cha kusoma kurasa zote if a men want to understand a woman
 
its a waste of time
let them understand us men
that will be enough
 
hatuna Formula
hakuna kitabu kitakachoweza
kueleza tulivyo hata siku moja
sana sana mtajaribu tu ....

samahani upande wa pili
...
 
Kitabu chote hicho, nitawasoma na kuwaelewa hukuhuku mtaani.
 
hatuna Formula
hakuna kitabu kitakachoweza
kueleza tulivyo hata siku moja
sana sana mtajaribu tu ....

samahani upande wa pili
...

formula ipo wewe, kwanza lazima udanganywe na kusifiwa then ndo unalainika.
mtu akikwambia ukweli itakula kwake, hivyo lazima akudanganye danganye
na wewe kujiona hakuna aliye zaidi yako... just check mwanamke anavyobembelezwa
kabla ya gemu, but wakisha ku undress men anakuwa mbogo, no kubembeleza wala nini.
tehetehe... nimekumbuka lile tangazo la haki elimu (.....unajua mi nakupenda.....sidanganyiki...)
 
Si wanaume tupo simple sana,inabidi aelewe,kuna muda wa kuwa naye,muda wa kuwa na washkaji wangu na muda wa kuwa na tv yangu(especially wakati wa football)
 
formula ipo wewe, kwanza lazima udanganywe na kusifiwa then ndo unalainika.
mtu akikwambia ukweli itakula kwake, hivyo lazima akudanganye danganye
na wewe kujiona hakuna aliye zaidi yako... just check mwanamke anavyobembelezwa
kabla ya gemu, but wakisha ku undress men anakuwa mbogo, no kubembeleza wala nini.
tehetehe... nimekumbuka lile tangazo la haki elimu (.....unajua mi nakupenda.....sidanganyiki...)

dahhhh Pota wewe
mmmmhhh hiyo formula
yako ni kwa wanaoanza wengine
tumeshakuwa ma Kong'okodi hiyo
itadunda bora uje straight forward
then tutaelewana..
 
formula ipo wewe, kwanza lazima udanganywe na kusifiwa then ndo unalainika.
mtu akikwambia ukweli itakula kwake, hivyo lazima akudanganye danganye
na wewe kujiona hakuna aliye zaidi yako... just check mwanamke anavyobembelezwa
kabla ya gemu, but wakisha ku undress men anakuwa mbogo, no kubembeleza wala nini.
tehetehe... nimekumbuka lile tangazo la haki elimu (.....unajua mi nakupenda.....sidanganyiki...)

Pota,

How did you know all these?
You have made my day!
 
Looking at the book, it means no way we can understand them. Lets just love them an let them understand us.
 
women don't need our theory, they just need us to practice those theories. Lets study their concerns too!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom