Kwa wanaume tu.

Dam55

JF-Expert Member
Oct 8, 2015
3,565
2,000
Hii mada ni kwaajili yetu wanaume tu sasa mdada ukija hapa usije lalamika kwasababu nimeshatoa angalizo.

Wakuu kuna kitu kidogo hapa nimeona niwadokeze kwa ufupi.
Kutokana na utafiti wangu binafsi usio rasmi na maoni ya wadau mbali mbali imegundulika kuwa.
Wanawake wenye matiti makubwa Asilimia 80(80%) ya hisia zao zipo kwenye sehemu hiyo.
Unapokutana na mwanamke mwenye matiti makubwa katika suala zima la mgegedano wala usihangaike sana katika kuamsha hisia zake.
Cha kufanya hapo we cheza na kifua chake tu inatosha kabisa kumuacha hoi.
Kwasababu Asilimia kubwa ya hisia zake zipo hapo kuliko sehemu nyingine yoyote ile katika mwili wake.

Wengi wa wanawake wa hivi huwa na hisia kali sana kwenye sehemu hii kiasi kwamba mnapokuwa faragha hata kidole chako tu kikigusa kifua chake basi hana ujanja tena. Hata kama hakuwa na hamu na utayari wa kufanya hivyo lakini hapo lazima atoe mzigo.

Wengine kwa kuutambua udhaifu huo basi huwa na tabia ya kujichunga sana awapo na mwanaume ili asije guswa maeneo hayo kabisaa anakuwa makini mno anaweza kuacha umshike popote lakini si kifua chake.

Kwa wale walio wahi kukutana na wanawake wa hivi mnaweza kuwa mashahidi.
Na kama bado basi nenda kafanye jaribio hilo na utakuja na majibu hapa.

Hii ndio siri ya wanawake wenye matiti makubwa.
Uwaonapo tambua kabisa hivyo ndivyo walivyo.

Karibuni kwa maoni yenu.
 

Mr Mose

JF-Expert Member
Jun 11, 2016
346
500
Hahahahahha yanaitwa sukari, pata yenye umbo kama papai unaweza kuona stress zileee znayeyuka
 

T 1990 ELY

JF-Expert Member
Sep 7, 2014
6,210
2,000
Subiria leo nijaribu hii kitu nione kama ni kweli

Maana kuna demu namupigia misele hapa kitaani kwetu na leo kaeleweka nakula mzigo

Ana matiti/nido kubwa
 

Mchanya

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
766
1,000
Kwa nini siku za hivi karibuni mada zinazozungumzia ngono zimeongezeka sana hapa jukwaani?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom