kwa wanaume tu

Kuna kitu kimoja nami nimejifunza,wanaume wanakimbia wanawake walioko desperate au wenye dalili za kuwa desperate.....yaani...you are too demanding.....si in terms ya hela ila hata attention unayotoa na kutarajia kutoka kwa mwanaume.....wanapenda uhuru wao na wawe na muda wa kufanya na kuamua mambo yao....ukiwa too much available kiasi kwamba una limit freedom yake na kumuonyesha huna maisha bila uhusiano wenu inampa shida sana.....nakushauri,take your time away from him sometimes,distance ni nzuri....show him you have your own life independent without him,love yourself,have time with friends and family and just be happy and show him your happiness does not depend on him alone.....ila ukikosea ukamuonyesha yeye ndo kila kitu,safari ataianza....pia do not pressure himor try to change him to be someone,he will change when he is ready,...uwe na kiasi na mpende alivyo.... and lastly,maybe hawakuwa wako my dear....wako yu njiani na akifika utakuwa na peace of mind and the love you have always desire and deserve.....be happy,stop worrying about men....wapo tu!!!!!!!1
 
kawaida mtu anapopendwa huwa na kiburi fulani hivi kinachomfanya ajione kuwa labda bila yeye huyo mwenzake si kitu.
 
kuna kitu ulikua unakosea na labda wanawake wengi hawakijui kuhusu sisi wanaume,tunapenda sana kuonyeshwa mapenzi ya dhati,kuwa cared na kuonyeshwa attention,lakn wanawake wengi mnafikiri kumganda(wivu wa kuzidi kiasi) sana mwanaume i.e anakosa hata privacy eg;akitoka na wenzake bila ww kuwepo shida,akiongea na watu wa jinsia ya kike uanleta zengwe bila kuuliza na mambo kama hayo ndio mnafikiri ni caring....hapo ndipo tatizo linapoanzia,...anyway kwa ufupi wanaume wengi tunapenda sana uhuru pamoja na hiyo caring,attention and so forth and so on.

Hii ni kweli kabisa IGWE, wadada wengi wapo hivyo. sijui hatujui kwamba nao wanahitaji kuwa na rafiki zao bila sisi? tuwe tunawapa uhuru hao wapenzi wetu. mara nyingi nimeona kwamba kunapokuwa na group la marafiki halafu kukawa na pair ya wapenzi huwa group linakosa uhuru, yaani hakuna kukata kiu kama wanavyofanya wakia peke yao. hata kama hakuna lolote baya wanalopanga lakini kunakuwa na kaheshima fulani ka maongezi, watu wanalazimika kuchagua nini waongee, siyo fair kwa members wengine.
 
japo mie na jinsia yangu siruhusiwi, lakini naomba nitoe angalizo hapo mapema kabla hamjanifukuza humu. jama watu wote ni unique. kila mtu anapata satisfaction from a unique package, huwezi kufanya generalization ukajua ufanye nini kuwamaintain wanaume wote. hakuna formula kama hiyo dunia nzima. kama unataka kujua kwa nini uliowapenda hukudumu nao na wale ambao hukuwapenda ulidumu nao, fanya uchunguzi kwenye mahusiano na mmojammoja na utagundua unique factors kisha zifanyie kazi kwa mahusiano utakayojaaliwa kupata siku za usoni. biblia imefafanua tatizo unalokabiliana nalo soma kitabu cha Warumi 7:15-25 (nimekuwekea hapo chini kwa kiingereza) utaona tatizo kama lako na majumisho yake ni muhimu zaidi ukiyazingati.

15 I cannot explain what is happening to me, because I do not do what I want, but on the contrary, the very things I hate.
16 Well then, if I do the evil I do not want to do, I agree that the Law is good;
17 but, in this case, I am not the one striving toward evil, but it is sin, living in me.
18 I know that what is right does not abide in me, I mean, in my flesh. I can want to do what is right, but I am unable to do it.
19 In fact I do not do the good I want, but the evil I hate.
20 Therefore, if I do what I do not want to do, I am not the one striving towards evil, but Sin which is in me.
21 I discover, then, this reality: though I wish to do what is right, the evil within me asserts itself first.
22 My inmost self agrees and rejoices with the law of God,
23 but I notice in my body another law challenging the law of the spirit, and delivering me as a slave to the law of sin written in my members.
24 Alas, for me! Who will free me from this being which is only death?
25 Let us give thanks to God through Jesus Christ, our Lord!

ubarikiwe sana.
 
Mwenzenu nimekaa na kutathimini historia ya mapenzi yangu tangu nilivyoanza mahusiano ya kimapenzi, nikagundua kuwa wanaume ambo niliwapenda sana hatukuweza kudumu kwa mda mrefu, ila ambao sikuwapenda ile kiukweli ndo niliodumu nao sana na mimi ndo nilikuwa nawaacha kwa sababu sikuweza kujilazimisha kuwa nao wakati siwapendi, nikawa najiuliza maswali mengi kwa nini mwanaume ninaempenda sana ananiacha, sikupa jibu sahihi baadae nikaamua kuanza kusoma tabia za wanaume wawapo kwenye mahusiano katika website mbali mbali na vitabu. Waandishi wengi waliandika kwamba wanaume wanapenda sana kutoa I mean kutoa caring, attension na mambo yote yatakayomfanya aonekane kwa mwanamke wake kwamba anajali, lakini inapotokea mwanamke wake akafanya hayo niliorodhesha hapo juu basi mwanaume huyu atajiona kama anadhalaulika,na kuanza ku pull away, je wanaume ni kweli kwamba mnapopendwa huwa mnatabia ya ku pull away, je hampendi wanawake zenu wawaoneshe mapenzi ya dhati, akupe caring attension na vingine vyote? je mnapenda wanawake zenu wabehave vip mnapokuwa kwenye mahusiano.

Ukichagua na wewe unachakuliwa....ni ya kwamba wewe yule usiempenda mara nyingi huwa wanakufata wao na ndio una past time nao,na yule ambaye unae mpenda anakutoa baadae ndio unamfata wewe, sasa ujue kuwa,,,ukichagua na wewe unachaguliwa ...finish
 
we nae wa kuita mwenzio kicheche,nyani haoni.....!!! usimuite mwanamke mwenzio kicheche....relationship zinavunjika kwa sababu nyingi na kila mtu hukosea.

The Following 2 Users Say Thank You to Michelle For This Useful Post:

Kaizer (Today), WiseLady (Yesterday)​
 
Sijui katika pitia pitia yako ya kuwasoma wanaume ulikutana nayo haya:

Wanawake wengi huwa possessive wanapompenda mwanamme na huwa wanachukuwa roll ya kuwa dominant na kujifanya wanalinda territory yao. Hilo ni kosa kubwa walifanyalo wanawake bila kuelewa. Hii jifunze kwa kutazama wanyama wanavyoishi, kama vile Simba, Kuku, Swala na kadhalika. Mwanamme ndiye mwenye roll ya ku-possess na ku-dominate na kulinda territory yake.

Ushauri: Wasome hawa wanyama especially wale waliokuwa si wa kufuga, utapata elimu kubwa ya kuishi na umpendae bila matatizo.

Hiyo ni point moja tu na nimeikatiza katiza.

Lingine ni kujaribu kuwasiliana na wakina mama wazee waliokuwa wakiwafunda wari huko nyuma, nna uhakika utapata mengi sana ya manufaa kutoka kwao na si kupata elimu mahusiano kutoka kwa hawa waliorukia hizi kazi, kama wale wanaoongea hovyo kwenye ma-kitchen party, watakupoteza.

Kumbuka, wanaume wengi huwa wanajali sana kudekeza mwanamke iwapo nae ana manufaa kwa mwanamme na si kumfanya mwanamme ndio njia ya kipato chako. Tazama Simba, anahakikisha analinda wanawake zake na himaya (territory) yake na anahakikisha anawatimizia majike unyumba wakati wanapokuwa kwenye heat (ashki) hata mara 30 kutwa kwa wiki nzima au zaidi. Lakini, nae hutegemea kuenziwa kwa wanawake kuchukuwa roll ya kuwinda na kumwachia aanze kula vinono, japo husaidia kuwinda lakini utaona wanawake ndio wenye roll hiyo. Somo ni refu na linataka wasaa.
 
Tatizo dadaz wengi hawajui jinsi ya ku-care,kumfuatilia mwanaume kwa kila afanyalo, kuangalia kila msg inayoingia kwake,kutaka waishi kama wale watamthilia,kumtegemea kwa kila kitu,n.k ni baadhi ya vitu vinavyokera kwa mwanaume
 
Sijui katika pitia pitia yako ya kuwasoma wanaume ulikutana nayo haya:

Wanawake wengi huwa possessive wanapompenda mwanamme na huwa wanachukuwa roll ya kuwa dominant na kujifanya wanalinda territory yao. Hilo ni kosa kubwa walifanyalo wanawake bila kuelewa. Hii jifunze kwa kutazama wanyama wanavyoishi, kama vile Simba, Kuku, Swala na kadhalika. Mwanamme ndiye mwenye roll ya ku-possess na ku-dominate na kulinda territory yake.

Ushauri: Wasome hawa wanyama especially wale waliokuwa si wa kufuga, utapata elimu kubwa ya kuishi na umpendae bila matatizo.

Hiyo ni point moja tu na nimeikatiza katiza.

Lingine ni kujaribu kuwasiliana na wakina mama wazee waliokuwa wakiwafunda wari huko nyuma, nna uhakika utapata mengi sana ya manufaa kutoka kwao na si kupata elimu mahusiano kutoka kwa hawa waliorukia hizi kazi, kama wale wanaoongea hovyo kwenye ma-kitchen party, watakupoteza.

Kumbuka, wanaume wengi huwa wanajali sana kudekeza mwanamke iwapo nae ana manufaa kwa mwanamme na si kumfanya mwanamme ndio njia ya kipato chako. Tazama Simba, anahakikisha analinda wanawake zake na himaya (territory) yake na anahakikisha anawatimizia majike unyumba wakati wanapokuwa kwenye heat (ashki) hata mara 30 kutwa kwa wiki nzima au zaidi. Lakini, nae hutegemea kuenziwa kwa wanawake kuchukuwa roll ya kuwinda na kumwachia aanze kula vinono, japo husaidia kuwinda lakini utaona wanawake ndio wenye roll hiyo. Somo ni refu na linataka wasaa.

Disposal Knowledge.....sorry for neg attitude
scrap and take it salvage yard
 
A shortcut to a man's heart is thru his stomach. (Feed him properly).

A shortcut to a woman's heart is thru a man's wallet! (Or rather, Bank Account?)
 
suala sio kupigiwa simu mara kwa mara,inategemea ni simu zenye sababu zipi _ maake kuna simu za kuulizwa uko wapi mara unafanya nini mara uko na nani na nyingine kama hizo ndio zinazoboa,.....

SWADAKTA!! Hawajui matumizi ya simu!
 
Yapo mambo mawili ambayo yamejinga kwenye vichwa vya baadhi ya wanaume siku hizi. Cha kwanza wanaamini kuwa wanawake wengi wanapenda zaidi ela na starehe, na sio mapenzi. Na pia tunaona kama wanawake wengi wanapenda kuolewa tu na sio mapenzi. Jihadhari usionekane kama una hata lengo moja kati ya hayo. Onyesha kwa mwanaume kuwa unathamini sana ela na uwe unamshauri apunguze starehe. Akikutoa kwenda kula piza ya sh 30,000/= mwambie no... kwanini tusiende tu hapo mgahawani tukala chakula cha kawaida, alafu hivyo vitu vikubwa tukafanya siku maalumu tu. Kama kweli anakupenda utashangaa siku anakupeleka sehemu ya matawi ya juu kwa surprise. Kama unakunywa pombe, ukiwa nae mwangalie yeye kwanza anakunywa nini. Kama anakunywa pombe, basi usijivunge,

na wewe kunywa asije akakuona mnafiki, ila kama hanywi, take care kumsoma namchukuliaje mtu anayekunywa, kama yuko neutral, then kunywa ili akuone kuwa unajiamini. Usimuachie yeye tu kulipa bill. Kama unajua mtatoka, jitahidi kupata vijisent kadhaa, na mkiwa kwenye starehe, lipia kitu chochote kimoja wapo, hata chumba (kama mtahitaji faragha). Hii itamfanya akuone kuwa unastarehe sio kwa sababu ya pesa zake, bali unapenda kustarehe.
Usipende sana kumsisitiza kuhusu ndoa. Usipende kudiscuss naye juu ya ndoa za rafiki zake au zako. Usipende kumwonyesha kuwa yeye ndiye mtarajiwa wako au wewe ndiye mtarajiwa wake. Usimtambulishe hivyo kwa ndugu au jamaa. Mtambulishe kama rafiki yako wa kiume, basi. Ukiongea naye kuhusu ndoa mwambi ... mi napenda baadaye maisha yangu ya ndoa yawe hivi na hivi.. napenda niwe na mwanaume mwenye tabia nzuri kama za kwako.. Akikuuliza kwa ni huna uhakika kuwa atakuwa yeye..., mwambie yote ni mipango ya Mungu, lakini ungefurahi sana kama akiwa yeye...

Kama unataka akununulie kitu, mwombe akusindikize shopping. Ukifika kule mwambie kuwa una shilingi kadhaa na unataka kununua kitu fulani (hata kama hizo hela alikupa yeye), then chagua kama ni nguo au chochote, jaribu, akikwambia umependeza, jifanye kuulizia bei.. then akiwa kubwa kuliko ulizo nazo, usitake kumwambia akuongezee, bali sema ok,
000
\

Umeme umekatika, UPS yangu inaisha chaji, kwa heri...

asante sana mkuu Tuko, nimejifunza mengi hapa
 
Kuna kitu kimoja nami nimejifunza,wanaume wanakimbia wanawake walioko desperate au wenye dalili za kuwa desperate.....yaani...you are too demanding.....si in terms ya hela ila hata attention unayotoa na kutarajia kutoka kwa mwanaume.....wanapenda uhuru wao na wawe na muda wa kufanya na kuamua mambo yao....ukiwa too much available kiasi kwamba una limit freedom yake na kumuonyesha huna maisha bila uhusiano wenu inampa shida sana.....nakushauri,take your time away from him sometimes,distance ni nzuri....show him you have your own life independent without him,love yourself,have time with friends and family and just be happy and show him your happiness does not depend on him alone.....ila ukikosea ukamuonyesha yeye ndo kila kitu,safari ataianza....pia do not pressure himor try to change him to be someone,he will change when he is ready,...uwe na kiasi na mpende alivyo.... and lastly,maybe hawakuwa wako my dear....wako yu njiani na akifika utakuwa na peace of mind and the love you have always desire and deserve.....be happy,stop worrying about men....wapo tu!!!!!!!1

Jamani Chelle, Mungu anipe nini tena.............You said it all, aisee kumbe ndiyo maana siambiwi wala sisikii kwako.
 
Kuna kitu kimoja nami nimejifunza,wanaume wanakimbia wanawake walioko desperate au wenye dalili za kuwa desperate.....yaani...you are too demanding.....si in terms ya hela ila hata attention unayotoa na kutarajia kutoka kwa mwanaume.....wanapenda uhuru wao na wawe na muda wa kufanya na kuamua mambo yao....ukiwa too much available kiasi kwamba una limit freedom yake na kumuonyesha huna maisha bila uhusiano wenu inampa shida sana.....nakushauri,take your time away from him sometimes,distance ni nzuri....show him you have your own life independent without him,love yourself,have time with friends and family and just be happy and show him your happiness does not depend on him alone.....ila ukikosea ukamuonyesha yeye ndo kila kitu,safari ataianza....pia do not pressure himor try to change him to be someone,he will change when he is ready,...uwe na kiasi na mpende alivyo.... and lastly,maybe hawakuwa wako my dear....wako yu njiani na akifika utakuwa na peace of mind and the love you have always desire and deserve.....be happy,stop worrying about men....wapo tu!!!!!!!1

Asante sana Michelle
 
Hapo sasa ndo shughuli inapoanzia, labda kuna njia unazozifahamu zitakazo nisaidia kupunguza wivu, please help
yaani naumia sana ninapoachana na mwanaume ninaempenda

to me,kwa matazmo wangu, wivu is not a problem, kwani mkishajua kama mmoja wenu ama wote mna wivu, then unaweza ku-sort out. kwangu tatizo kwa wengi ni urafiki for sure haya yote unayozungumza hapa unazungumza na marafiki. lakini sidhani kama ulishwahi kumwambia kwa namna yeyote ile mpenzi wako. when you talk to a friend u are free , unazungumza yote, wivu , ukweli , uozo na kila kitu. sasa kama huna urafiki na mpenzi wako, kwa maana ya kwamba mkiwa wapenzi tu, hapo ndipo WIVU unakuwa na matata. lakini if you are real friends, wivu is not a problem.
further more if you are God believer you have the first friend and lover, ask Him to be given the one to be place in your heart
 
Back
Top Bottom