Kwa wanaume tu, wanawake msome tu

Kwa wanaume tu, wanawake msome tu

miss chagga

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
57,805
Reaction score
49,104
Mambo rafiki

Kuna jambo huwa naona nakulisikia pia na wakati mwingine kunikuta hata mimi.. swala la wanaume kujisifia kumfanya mapenzi mwanamke....hivi najiuliza yafuatayo:

  • Ni ufahari/ushindi?
  • Starehe?
  • Unafurahi kudhalilisha mwanamke ? au nini hasa

Kwa sababu wengine hadi kulilia papuchi tatalilia lakini akishakufanya tu anaanza kujisifu, huko kwenye akili zenu huwa mnatafsiri vipi hiyo kitu nashindwa kuelewa mimi.

Wanaume fungukeni tupate kuelewa.
 
Hahahaaa.... ushambaa na Ulimbukeni tu....

ila mimi sijawahi kuyafanya hayo mapenzi pengine ndo maana jibu langu linaweza lisiwe sahihii...
:cool2:
 
Ni jambo la kushangaza kidogo kwanza kwenda kukaa kijiweni na kusema yule dada yule nishatembea nae na yuko hivi na hivi
Kwa wengine ni kujionyesha namna alivyo kidume mtaani kiasi cha kuweza kuwapitia wanawake kadhaa au wazuri au wagumu wanaowasumbua watu mtaani ila sioni kama ni la maana kutangaza kuwa huyu na huyu nimetembea nae
 
kwa hiyo wewe hujawahi kusema hivyo? kwa sababu unakuta mtu kabisa anamkosesha dada amani kisa kamla jamani
 
Kuna watu wanasimulia hadi aibu naona mimi
yani hadi alivyomkunjua kunjua ... mmoja akasema eti hadi alimtoa kinyesi jamani kama unampasi mwenzio siiwe siri yako loh....
ni ufahari.... especialy ukiwa kijana na damu inachemka!!! hizi dushe hatujapewa kukojolea tu na kugegeda ni mojawapo ya kazi and we are proud of that
ha ha ha so your proud of using it?
 
kwa hiyo wewe hujawahi kusema hivyo? kwa sababu unakuta mtu kabisa anamkosesha dada amani kisa kamla jamani

Siwezi najua issue ya love making is private na tulifanya kwenye private place bila mtu mwingine kuhusika
Ya nini ukamtangaze kijiweni kuwa nimetembea na yule na yule au yule dada usimuone hivi anaringa hana lolote yuko hivi na hivi inasaidia nini sasa
Sana sana unajidhalilisha na kumdhalilisha mhusika
 
ni kweli msifanye hivyo
 
Mepotea njia please miss chagga naomba nielekeze pakwenda, maana hapa naona ni kwa wanao kojoa wakiwa wima teh teh
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom