Waache waendelee kujipa moyoHawajui hilo unazani mchepuko haujielewi mtu arudi kulala kwa mkewe yeye alale mwenyewe kakwambia nani, mtu akiwa na mchepuko ajue kabisa mchepuko ajue kabisa nao unamchepuko mwingine mbadala
Sent using Jamii Forums mobile app
Shemela, umewahi banaa..?Aiseee
Havina formula ni naturally gifted ndoa kudumu
AbeeeShemela, umewahi banaa..?
Majibu tafadhari shemelaAbeee
HahahahaMajibu tafadhari shemela
aisee....ukitafuta mchepuko ..please look at me 😃😃
AsanteKwa hiyo hata mke inabidi awe na mchepuko ili kuweka mambo sawa??
Nijuavyo mimi kwa umri mdogo na uzoefu mdogo nilionao, mchepuko sio suluhisho la matatizo yako ya ndoa na badala yake wakati mwingine hugeuka kuwa sehemu ya tatizo lenyewe la ndoa.
Mimi nakataa, sio sawa!! Wanandoa wana wajibu wa kusort out tofauti zao na kutengeneza amani kwenye familia yao. Kutoka nje ya ndoa my dear wala sio suluhu ya matatizo yenu sanasana mtajikuta mnazua matatizo makubwa.Nadhani ni kweli na ina'apply pande zote mbili...
Kwanini uwe mtu wa tafrani na visirani home wakati ushapunguza stress kidogo sehemu?
Akiwa bize na nyumba ndogo na we unapooza kidogo mara moja moja akirudi home amani inatawala
Kelele za nini na we una yako.?
Kikubwa kuheshimiana na kupendana ndani
Kama mwenza anaridhia utulivu ni sawaMimi nakataa, sio sawa!! Wanandoa wana wajibu wa kusort out tofauti zao na kutengeneza amani kwenye familia yao. Kutoka nje ya ndoa my dear wala sio suluhu ya matatizo yenu sanasana mtajikuta mnazua matatizo makubwa.
Hili neno buys limekuwa likinichanganya mpaka nilipoona watoto na smartphone ndo nikaelewaTena hawa 19-22 wapo poa sana si wasumbufu kivile na nina mpango wa kuongeza wa tatu! ni mwendo wa soda na chips tu alafu hautumii nguvu kuwakojoza!
Ningirudi home tunaendelea na stress na u- buys wa familia, mapenzi ni kama yalishakwisha mke yupo buys na watoto na smartphone.
Smart phone hizoHili neno buys limekuwa likinichanganya mpaka nilipoona watoto na smartphone ndo nikaelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
heksozi-exhaustShork up absorber ✖
Shock absorber ✔
Wabongo tunasemaga 'shokamzoba'. 🤣
Haukumuelewa mdau.Mkuu, mimi sio Mwanaccm. Mimi ni Mtanzania nisiyekuwa na chama. Avatar yangu haihusiani na siasa. Ninaomba ujikite kwenye mada.