Kwa wanaume tu walio oa

Havina formula ni naturally gifted ndoa kudumu
Naunga mkono hoja.
Hakunaga utaalam wa kufanya ndoa idumu kwa maisha haya ya wanawake wa leo na wanaume wa leo..viazi..viazi..vuazi viaziii..

Though upo ujinga wa kufanya ndoa ivunjike..wala haina haja ya kuwa gifted.Anyone ana uwezo wa kuvunja ndoa bt ili ndoa idumu Mungu wako tu akusimamie
 
Trust me...imeniuma sana hii
 
Usipokuwa na mchepuko uwezekano wa ndoa ya kibongo kuvunjika instantly ni 98%!!!

Michepuko ni Kusheni za madhaifu ya wake zetu.
Tena hawa 19-22 wapo poa sana si wasumbufu kivile na nina mpango wa kuongeza wa tatu! ni mwendo wa soda na chips tu alafu hautumii nguvu kuwakojoza!
Ningirudi home tunaendelea na stress na u- buys wa familia, mapenzi ni kama yalishakwisha mke yupo buys na watoto na smartphone.
 
dah!! Ndoa za siku hizi sa bora uwe na watoto tu kisha ukitaka unavuta tu exotic.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume ndo wanayaanzisha mkuu
Inafika point huoni thamani ya kuwa mwaminifu 100% kwake...kimya kimya tu
Yaani huanzisha wenyewe, mwishowe mke huchoka, kinachochekesha mme hujimwambafai
kwa jeuri kumbe mke naye stress kaziacha huko ndani wanapunga upepo tu, tena kimya kimya kama nyau vile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninapinga hill michepuko hawafanyi ndoa yako kudumu Bali huaribu ndoa, kumbuka huyo unayemuita mchepuko naye hapendi kukaa kwenye hiyo status ya mchepuko hivyo atafight spate ndoa na kuipata hiyo ndoa ni lazima ampindue aliyepo ndani sasa hapo ni ndoa gani inaimarika? Mwanamke mmoja anakusumbua hao wawili utawezaje ndo pale unajifariji unamchepuko naye Hugo mchepuko wako anamchepuko wa kumliwaza unajiona kidume kumbe naye ana kidume wake was kumkuna. Cha msingi sio kukimbia matatizo Bali kuyasuluhisha ndo mambo yanaenda
 
Hawajui hilo unazani mchepuko haujielewi mtu arudi kulala kwa mkewe yeye alale mwenyewe kakwambia nani, mtu akiwa na mchepuko ajue kabisa mchepuko ajue kabisa nao unamchepuko mwingine mbadala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…