Aliekuruhusu kuchangia Uzi wa tyliokwishaoa ni nani? Tukikushitaki kwa kutuvamia na kushiriki siri zetu bila idhini utatulaumu?Kama hivyo ndivyo basi ndoa haina maana siku hizi , ni mtazamo wangu tu , japo sijaoa bado
And vice versa is true ndugu msomajiUsipokuwa na mchepuko uwezekano wa ndoa ya kibongo kuvunjika instantly ni 98%!!!
Michepuko ni Kusheni za madhaifu ya wake zetu.
Labda km wanaume ni malaika watimilifuNot really! 😆
Mi sio malaika ila sehemu ndogo tu ntayofeli.Labda km wanaume ni malaika watimilifu
unahisi mwanaume mmoja anamtosheleza mwanamke kila kitu anachohitaji?..simaanishi pesa na kitandani tu
Kuna mengine..mf kihisia ..wanawake watu wa hisia sana
hahah kwann
Huwezi jua mwenzio anapenda niniMi sio malaika ila sehemu ndogo tu ntayofeli.
We mbali na Pesa, Sex na Zawadi kuna kipi unahisi siwezi kukutimizia.Huwezi jua mwenzio anapenda nini
Unaweza dhani umepatia ila ye sio hitaji lake kwa mda huo
tufikiri kwa marefu na mapana
We mbali na Pesa, Sex na Zawadi kuna kipi unahisi siwezi kukutimizia.
Binadamu are complexWe mbali na Pesa, Sex na Zawadi kuna kipi unahisi siwezi kukutimizia.
Upako upi chalyangu, hawa mamanz wanapendaga kupigwa mkojo na kupewa hela at large.
Dushe likiwa na genye linaanza’ccm juu’ linaongeza’juu’ ‘juu zaidi’ au kwa wahuni wanadai ni kudindiishaSikukuelewa Mkuu. Peace.
Du....,.Nadhani ni kweli na ina'apply pande zote mbili...
Kwanini uwe mtu wa tafrani na visirani home wakati ushapunguza stress kidogo sehemu?
Akiwa bize na nyumba ndogo na we unapooza kidogo mara moja moja akirudi home amani inatawala
Kelele za nini na we una yako.?
Kikubwa kuheshimiana na kupendana ndani
Bachelor sio rijali anahudumia kwa kipindi! Alieoa analazimika kutoa huduma mara kwa mara bila kigugumizi"Hongereni wanaume marijali"
Nimekunukuu inamaana sisi ma bachelor hio sifa hatuna ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Binadamu are complex
ndo mana kila siku tunasomana
Section ya hisia mbona hujataja...vipi je muda na mimi?.
unajua love languages?.kila binadamu ana namna inayomfanya ajiskie anapendwa zaidi...rejea kitabu cha five love languages kupata maarifa zaidi
Na kuna Ile mtu ukishapata kitu fulani unaanza kuwa na mahitaji mapya mengine mfano ukishapata food clothing and shelter mahitaji yako yanakua tena si hayo bali kuwa na familia/mapenzi na kuwa mtu bora zaidi kadri inavyowezekana/self actualization...hapa rejea Maslows' hierachy of human needs
mfano mwanamke mwenye pesa..pesa sio hitaji lake hivyo labda ujikite kwenye mapenzi na mengineyo mf kujiendeleza kielimu,kuendeleza watoto na familia kwa ujumla
Kikubwa tupende kuyatizama mambo kwa marefu na mapana
na hata kwa wanaume pia