Kwa wanaume tu: Nasumbuliwa na mchepuko

Kwa wanaume tu: Nasumbuliwa na mchepuko

Ata tukikushauri haitasaidia ni wanaume wachache wanye uwezo wa kuukimbia huo mchezo
 
Wakuu ni miaka miwili toka tuamue kusitisha uwizi wetu uliotukuka.
Mimi na mchepuko wangu tuliamua kila mmoja wetu aelekeze mapenzi kwa mwenzie wa ndoa, yeye bado hajahalalisha ndoa.

Tulikaa kwa mUda mrefu tukasahauliana, sasa miezi ya hivi karibuni ameanza kunitafuta kwa nguvu sana, akidai amemisi mautamu.

Mimi nilishamsahau ila baada ya calls zake za kila siku, naaza kulegea na kulegeza msimamo,
ushauri nimkubalie au nimpotezee?
Pambafffff!
 
Hana nia nzuri...potezea tuu Mkuu, waswahili wanasema "Kamba hukatikia pembamba"
ana nia nzuri kakumbuka tu mautramuuuu.....huwa inatokea jamani...weee mpe tu pengine unautamu unaojirudia kama mwangwi,,......
 
He is a master of the game
Jana aliharibu kaact kama askari kuna madogo wakawa wanapiga baruti jirani akajua majambazi si akavua gwanda la upolisi na kuifcha silaha maana akajua wakimdaka itakula kwake baada ya mda kwenda chungulia akukuta kumbe madogo wapiga baruti kawakamata kwa hasaira na kuwapa kichapo then akarudia silaha yake na gwanda kuendelea na kazi
 
Mkuu kati ya mwili na roho unapenda/unahitaji kipi?

Jibu lako ktk hili swali ndo litakua solution ya tatzo ulilonalo
 
We jaribu tu mkuu,naweza kimbia
Wewe unajua kaja na nini huko atokako wanaume wengine akili zenu zipo chini hivi kama alikuwa na wengine mwenzio anatafuta pesa nenda wakakutatue marinda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom