Kwa wanaume tu: Kukumbushana

Mtu ad kuja hum mtandaoni it means hujiamin.... Thats over kabisaaaaaa
 
Hiii khabari mbona km ina kaukweli ndani yake .......kulia kama punda,,,,,,...kha!!ni bora kujiongeza
 

Empty mind is a devils workshop...
Ur satan agent either by know or not know it
 
Siko Tayari kuletewa magonjwa. Kuna virusi vya HPV havizuiliwi na mipira.

Uko tayari nikaonje nje?
siko tayari kuletewa magonjwa.
piah nakuamini we ni mwaminifu kwangu
 
my woman my everything,,.no matter what...ni mmoja tu na atabaki kuwa yeye peke ake
 
Huu ndio ukweli wanawake wasiotaka kuukubali au kuusikia
 
WATUMIA HATA INJILI KUHALALISHA UFUSKA.USIFANYIE MZAHA NENO LA MUNGU.NI ONYO NA USHAURI .NUCTA.
 
Lakini ukweli lazima usemwe, mwanamke mmoja kwa mwanaume hatoshi lakini pia male gender yoyote ni fahari kumiliki wanawake wengi, this is obvious and scientifically proven kwamba male gender ya aina yoyote kumiliki wanawake wengi ni fahari kwako.
Imenibidi niwaze tu kuwa inamaana Mungu alikosea kumuumbia Adamu mke mmoja???! Yawezekana wakati Eve anarubuniwa na shetani yeye alikuwa akichepuka hukooo akimdeku tausi na kutamani angekuwa binadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…