Kwa wanaume hivi vitatu ni unkwekabo!

Kwa wanaume hivi vitatu ni unkwekabo!

..Weweeee, usiseme hakuna! we research yako umeifanyia wap mpaka unasema eti lazima mtu awe addicted kwenye hizo mambo tatu........ kwa taarifa yako mimi cjawa addicted kokote... RUDI UKAFANYE UTAFITI... mawazo tu lakini!!!
 
Hapana kwakweli,nitakukatalia hadi usingizi uje(nipo kwa bed). Sivuti,sipombeki na wala sio mtu wa wanawake.
Hivi... Ili uwe mtu wa wanawake, wanatakiwa wafike wangapi? Na kwa kipindi gani?
 
Hahaha. Yaani haomaaddict kwenye maisha yako wanasingizia uanaume wao?
 
POMBE addict na SIGARA addict ni kwa baadhi ya watu.
Kuhusu wanawake kuna utata sana katika hoja yako,kwanza kukutana na wanawake ni swala la kibiolojia na si mazoea(addiction),mwili unaendeshwa na hormone kuwa na libido and sexual drive,mwanaume aliye addicted na wanawake kwa tafsri isiyo na maelezo mengi ni malaya,na mtu aliye na mpenzi mmoja ama hata wawili ama mke wake huwezi kusema ni addicted na wanawake,mtu aliye addicted na wanawake kwanza anakuwa nao kibao na kila siku anaongeza wengine,huwezi kuniita mimi ni woman addict wakati nina mpenzi wangu mmoja tu,hoja yako ni nyepesi sana na kuna siku utasema kuzaa kwa wanawake nayo ni addiction wakati ni swala la kibiolojia.
KWA MAELEZO HAYO napingana na wewe kwa asilimia 1,000,000%.
1.SIJAWAHI KUVUTA SIGARA na sitavuta and i swear.
2.Sijawahi kuwa mlevi na sitakuwa and i swear
3.pia am not a woman addict.PIA TAMBUA SEX LIBIDO NI NATURE sawa na kujisikia njaa ama kiu,ila inaweza tu kuingia huko kama mwanaume ni malaya wa kupindukia
 
Back
Top Bottom