Kwa wanaume hivi vitatu ni unkwekabo!

Kwa wanaume hivi vitatu ni unkwekabo!

Hicho ni kiswaenglish ..... in english should be "unavoidable" ......sasa si unajua tulivyo vijana wa siku hizi " avoid = kwepa sasa ndo ikawa "un kwepa bo"
 
maisha ya wanaume ni ya ajabu sana.wanaume wana tabia mbalimbali but kuna vitu vitatu ambavyo kila mwanaume lazma ataangukia hapo. Kuna kitu kinaitwa ADDICTION. Kwa tafsiri isiyo rasmi addiction ni utegemez wa jambo fulani ambalo humfanya mtu awe kama zoba kila anapofanya jambo hilo pasipokuwa na nguvu ya kuacha kufanya. Wanaume wako addicted na
1.POMBE
2.SIGARA
3.WANAWAKE
Hakuna mwanaume yoyote duniani ambaye anaweza kutoka nje ya hapo.
Hapana kwakweli,nitakukatalia hadi usingizi uje(nipo kwa bed). Sivuti,sipombeki na wala sio mtu wa wanawake.
 
maisha ya wanaume ni ya ajabu sana.wanaume wana tabia mbalimbali but kuna vitu vitatu ambavyo kila mwanaume lazma ataangukia hapo. Kuna kitu kinaitwa ADDICTION. Kwa tafsiri isiyo rasmi addiction ni utegemez wa jambo fulani ambalo humfanya mtu awe kama zoba kila anapofanya jambo hilo pasipokuwa na nguvu ya kuacha kufanya. Wanaume wako addicted na
1.POMBE
2.SIGARA
3.WANAWAKE
Hakuna mwanaume yoyote duniani ambaye anaweza kutoka nje ya hapo.

Mawazo yako tu hayo ajabu unahukumu mwisho wapo wanaokosa vyote vitatu hadi wanaoa
 
Siyo kweli kabisa, mimi vyote vitatu ulivyo sema siyo kweli kabisa, pombe sinywi kabisa, sigala sivuti , mke ninaye moja sina nyumba ndogo na sifanyi ngono nje ya mke wangu mpendwa.
 
Kwa hiyo kama hujawa "addicted" na hivo vitu vitatu unakua sio mwanaume? Mi sivuti sigara na nilishakua na demu anaevuta sigara ilikua kero kubwa I'm glad we did go our separate ways. Of coz napenda quality but meaningless sex na pombe iko poa sana.. I can't really say btn them random sex and my liquor which one is better, guess I can't really give an honest answer on that, but its a sure thing that I aint no addict to none of them.
 
maisha ya wanaume ni ya ajabu sana.wanaume wana tabia mbalimbali but kuna vitu vitatu ambavyo kila mwanaume lazma ataangukia hapo. Kuna kitu kinaitwa ADDICTION. Kwa tafsiri isiyo rasmi addiction ni utegemez wa jambo fulani ambalo humfanya mtu awe kama zoba kila anapofanya jambo hilo pasipokuwa na nguvu ya kuacha kufanya. Wanaume wako addicted na
1.POMBE
2.SIGARA
3.WANAWAKE
Hakuna mwanaume yoyote duniani ambaye anaweza kutoka nje ya hapo.

Ni mtazamo wako tu!
 
holygrail
===>Sio kweli kabisa,mbona wengine hatumo kabisa kwenye hizo ishu kwa sana?pombe nakunywa siku nikiamua,sigara ndio wala sitaki hata kuisikia,hao mabinti ndio kabisa,mimi na deal na mama yeyoo tu,ushawahi kuona mwanake anaokuomba likizo ya kugegedwa?
===>Mimi wanawake wa nje nawaogopa sana hasa wake za watu maana naamini siku akiuonja mtarimbo wangu ataning'ang'ania kila siku,itakuwa ni balaaa.
 
Last edited by a moderator:
matmafcha, so do I

Sijui kama ametafiti sawasawa huyu mleta mada
 
Last edited by a moderator:
Dah!!! Umebugi tena sana...Siku nyingine ufanye utafiti wa kina.

Back
Top Bottom