holygrail
JF-Expert Member
- Mar 24, 2012
- 1,303
- 597
maisha ya wanaume ni ya ajabu sana.wanaume wana tabia mbalimbali but kuna vitu vitatu ambavyo kila mwanaume lazma ataangukia hapo. Kuna kitu kinaitwa ADDICTION. Kwa tafsiri isiyo rasmi addiction ni utegemez wa jambo fulani ambalo humfanya mtu awe kama zoba kila anapofanya jambo hilo pasipokuwa na nguvu ya kuacha kufanya. Wanaume wako addicted na
1.POMBE
2.SIGARA
3.WANAWAKE
Hakuna mwanaume yoyote duniani ambaye anaweza kutoka nje ya hapo.
1.POMBE
2.SIGARA
3.WANAWAKE
Hakuna mwanaume yoyote duniani ambaye anaweza kutoka nje ya hapo.