LUBEDE
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 4,322
- 6,700
umejichanganya sana hadi nimeona aibu,kuendelea kujibu kwa kukurupuka utaharibu maana halisi ya uzi wako,mwanzo nilikuona una chembe chembe za akili.ila kwa ulichokiandika hapa,nimekufuta vyeo vyote,huyu jamaa unayemjibu kaandika mambo ya maan sana kuliko yeyote kwenye huu uzi,maandishi yake yapo very concious than anybody,usingejibu..ungeipita tu hoja yake kimya kimya,maana umeonyesha sura yako halisi kwa kiasi gani hauna akili,stupid & shame!Una imani lakini Ni imani iliyopotoka.
Imani halisi haiwezi kupinga neno la Mungu. Kama Ni mkristo soma biblia utaelewa nafasi ya kanisa kwenye imani yako
Watu wa magharibi waliyapuuza haya. Wakaacha kwenda kanisani. Wakaacha maisha ya undugu. Sasa kilichobaki hamna wanachoamini zaidi ya kuchanganyikiwa. Ndio maana hawaoni Tena umuhimu was ndoa Wala familia.
Tanzania Ni nchi pekee inayothamini ndoa na mwanamke kwa kuwa na sheria nzuriya ndoa hata kuliko uingereza.
Pia imani Ni muhimu Sana ili kuondoa migongano isiyo na tija. Huku Ni afrika na huku tuna tamaduni zetu na taratibu zetu
Life without values and norms is a robotic life
Labda ziwe imani za kimagharibi Kama zinazoanzishwa na kina Beyonce na wengine