Mwanamme atakaefatisha huu uzi indeed atapotea. Doesn't make sense at all.
1. So mwanamke asiwe msomi?😕
2. Asiwe matawi hata kama kazaliwa kuzuri na haiwezi kufichika??
3. Asiombe hela? What nonsense is this?
4. Ukishawajua familia yake na ofisini then what?
5. Here we go again, watoto wa single parents watengwe.
No point reading till the end.
mwanamke unatakiwa uwe na kiasi mengine tunavumilianaMwanamme atakaefatisha huu uzi indeed atapotea. Doesn't make sense at all.
1. So mwanamke asiwe msomi?😕
2. Asiwe matawi hata kama kazaliwa kuzuri na haiwezi kufichika??
3. Asiombe hela? What nonsense is this?
4. Ukishawajua familia yake na ofisini then what?
5. Here we go again, watoto wa single parents watengwe.
No point reading till the end.
Mange yupo kwenye namba ngapi?
Mwanamme atakaefatisha huu uzi indeed atapotea. Doesn't make sense at all.
1. So mwanamke asiwe msomi?😕
2. Asiwe matawi hata kama kazaliwa kuzuri na haiwezi kufichika??
3. Asiombe hela? What nonsense is this?
4. Ukishawajua familia yake na ofisini then what?
5. Here we go again, watoto wa single parents watengwe.
No point reading till the end.
Hizo sifa utazikuta kwenye midoli au vinyago vya kuchonga,...binafsi akijielewa tu mwanamke kwangu inatosha mengne mbele kwa mbele kama Ccm
Viwango ndio hivyo na hivyo Ni vidogo kabisa sema "oa kutokana na maamuzi yako" lakini Kama Ni ishu ya viwango viangalie kwa umakini hivyo utagundua una vingi Sana vya kuongezaHizo sifa zote hata sisi wanaume tunazo.
Hakuna binadamu aliyemkamilifu.
Oa kutokana na viwango vyako.
Mbadala wake mkuu tuoe wanawake gani maana wote umemsliza
Sasa hayo yote mbona ndo wanawake mnaowapenda siku hizi wako hivyo?[/QUOT
Mwanamme atakaefatisha huu uzi indeed atapotea. Doesn't make sense at all.
1. So mwanamke asiwe msomi?😕
2. Asiwe matawi hata kama kazaliwa kuzuri na haiwezi kufichika??
3. Asiombe hela? What nonsense is this?
4. Ukishawajua familia yake na ofisini then what?
5. Here we go again, watoto wa single parents watengwe.
No point reading till the end.
Suala la msikitini na kanisani si kigezo cha kukosa mke mwema au bora kwani msikiti au kanisa halina umuhimu wowote kwa mtu ajuaye mwenyezi Mungu. Mungu si dini na dini si Mungu. Acheni hili wazo la kipuuzi nyie waafrika, hatuhitaji kwenda msikitini au kanisani kuwa pure, we are pure already na Mungu anatupenda kama tulivyo because we are his creation na hajatuumba because of dini.