Kinyau
Platinum Member
- Nov 24, 2006
- 924
- 736
It may be true and it may NOT be true.
Lakini kama kijana amemaliza hadi form 6 na anajua kutumia internet vema- why waste time kutumia hawa? kama scholarships, vyuo, visa info NK vyote hivyo vipo kwenye mtandao. Ni kutulia na kusearch ipasavyo.
SIamini mtu akutafutie scholarship na kila kitu eti buuuree. Kwanini utake bure na uwezo ka kutafuta upo mikononi mwako?