Kwa wanaotaka kusoma nje ya nchi

Kwa wanaotaka kusoma nje ya nchi

pettymarcel

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2012
Posts
2,161
Reaction score
883
Je ungependa kwenda kusoma na kufanya kazi katika nchi kama canada,usa, malaysia, uckrain au china? SISI GLOBAL SOURCE WATCH tutakuunganisha kwani sisi ni wawakilishi wakuu hapa nchini tanzania, kuna vyuo ada mpaka dola elfu 4 pamoja na acomodation kwa mwaka kama upo tayari tafadhali wasiliana nami kwa simu namba 0763772636 au email pettygodson@yahoo.com au waweza kuni pm karibuni sana
 
asante mkuu ofisi zenu zipo wapi?
 
Kama umeamua kusaidia saidia kweli sio kuweka maelezo nusu,unasaidia kusoma nje kwa mising ipi?ofic zko zko wapi?unafaidka na nini?nikipata chuo nauli ya kwnda utanipa wewe?jipange!
 
Kama umeamua kusaidia saidia kweli sio kuweka maelezo nusu,unasaidia kusoma nje kwa mising ipi?ofic zko zko wapi?unafaidka na nini?nikipata chuo nauli ya kwnda utanipa wewe?jipange!

Si kila post lazima ukoment mkuu kama haikuhusu just chapa mwendo kwa walionielewa wameshawasiliana nasi na bado wanazidi kuwasiliana nasi ni hayo2
 
hii NGO me naifahamu, iko karibu na landmark hotel-ubungo kuelekea mabibo, na mwanzilishi ni Dismas Lysa
 
Je ungependa kwenda kusoma na kufanya kazi katika nchi kama canada,usa, malaysia, uckrain au china? SISI GLOBAL SOURCE WATCH tutakuunganisha kwani sisi ni wawakilishi wakuu hapa nchini tanzania, pia kuna vyuo vingine vinatoa ufadhili kabisa kama upo tayari tafadhali wasiliana nami kwa simu namba 0763772636 au email pettygodson@yahoo.com au waweza kuni pm karibuni sana
Dismas Lyassa ni Agent wa vyuo ambaye ni mbabaishaji na tapeli.
 
Dismas Lyassa ni Agent wa vyuo ambaye ni mbabaishaji na tapeli.

mimi nimefanya hii kazi tangu 2001 mpaka sasa takriban miaka 13 sasa na nimesajiliwa na serikali ukija ofisin nitakupa data zote kama unataka sijawai pata kesi ya utapeli ndo wewe unadai nimekutapeli ki2 gan?
 
ni kweli umesajiliwa na serikali na umeifanya hiyo kazi kwa kipindi kirefu, lakini huduma zako sio nzuri, ni ubabaishaji tu.
wapo Agency wengine wa vyuo ambao ni wazuri lakini sio Global source watch.
 
ni kweli umesajiliwa na serikali na umeifanya hiyo kazi kwa kipindi kirefu, lakini huduma zako sio nzuri, ni ubabaishaji tu.
wapo Agency wengine wa vyuo ambao ni wazuri lakini sio Global source watch.

Kumbe Mr.Lyassa upo ndani??mpasho wako huooo umeze tuuu na kuufanyia kazi..criticisms zinasaidia bwana usikasirike,jipange ,improve ur service acha blah blah,,by the way wabongo tuache kupenda kufanyiwa kila kitu,kama hela unayo sioni sababu ya kutumia agent !!ananufaika bureeeeeeeeeeee
 
Nimekuuliza swali kwenye ile thread nyingine ukasepa na kuja kuanzisha thread nyingine huku.

Kwenye ile thread nyingine, umedai kuwa mteja hatalipa chochote mpaka apate viza na nyie mtalipwa na chuo.

Maswali yangu ni haya

Kwanza, chuo kitawalipa kivipi?

Pili, mmefanya arrangements na hivyo vyuo kuwalipa kwa kuwatafutia wananafunzi?

If so, tatu, mnaweza kutupa list ya vyuo ambavyo mmeingia navyo ubia ili potental students waweze kufanya verifications kama kweli hizo arrangements zipo?
 
mweeeeh, ukafanye kazi china? wenyewe kwao hawana kazi na wamesitisha kuzaa kama panya we unasema kazi? labda kusoma sio kufanya kazi, wewe unasaidia watu kwenda kusoma au kwenda kufanya kazi???
 
watafutie wenzio scholarship zile fulu hadi accomodation,hii mambo mengine nahisi ni kuwasacrifice wenzio nchi za watu ndio wengine wanaishia kufanya u prostitute ili wakidhi mahitaji,...mie naona bora walivyokulipua kidogo :becky::becky:
 
Aka kajamaa kanakuja na hasira ukiandka ugoro pia unataka 2kushnglie,?jipange sio kuwachuuza wenzio kama vitunguu,
 
Someni tz jamani hvi vyuo vya $4000 mtajuta kwenda haya
 
mimi nimefanya hii kazi tangu 2001 mpaka sasa takriban miaka 13 sasa na nimesajiliwa na serikali ukija ofisin nitakupa data zote kama unataka sijawai pata kesi ya utapeli ndo wewe unadai nimekutapeli ki2 gan?
quote_icon.png
By mhalisi
Dismas Lyassa ni Agent wa vyuo ambaye ni mbabaishaji na tapeli.

​

  • kama sio utapeli na ubabaishaji na kama wewe ndiye Dismas Lyassa kama unavyojitetea kwa nini utumie jina la petty marcel huku jf sisi watu ambao tupo makini na wawazi tunatumia majiana yetu halisi. Any way inagrimu shilingi ngapi za kitanzania kumtafutia mtu chuo nje ya nchi (mnatoza sh ngapi kwenye hiyo ngo yenu?), na je kama mtu akitaka pia ufadhili (scholership)inakuwaje au mnamsaidiaje?

whats up. nimesoma thread. mi natafuta full scholarship kwa ajili ya MA. msaada plz
 
Back
Top Bottom