Kwa wanaotaka kujifunza chess..

Kasanjo

Member
Jul 29, 2015
60
28
Chess ni mchezo ambao huchezwa na watu wawili ni mchezo wa kufikiria sana na watafiti wa mambo wanadai unauwezo wa kuongeza uwezo wa kufikiri,kufanya maamuz sahihi kwa sababu kuucheza unatumia akili nyingi sana...Ni mchezo ambao hamna kubahatisha every move is a logical decision...Ukiwa umebobea kwny huu mchezo unaeza ukaitwa kwenye Tim ya chess ya taifa kwenda kushriki michezo ya kimataifa, na pia kuna kuwa na mashindano ya ndani ya nchi ya chess ambayo mtu unaeza jiandikisha kushriki....Mimi nachoamini ni kwamba nchini kuna vipaji vingi vya chess wazungu husema un utilised potential ...Hivyo mimi na wenzangu tumeamua kufunga chess club ila kabla ya hapo tutakua tunapata mafunzo mpaka itakapofikia stage fulani ambayo watu wanaelewa fresh then club inaeza ikaendelea independently...So if u want to join link ya telegram hii apa Chess group
65a0abfe4a3416d4df89dafe755ccfca.jpg

Huo ni mfano wa chessboard na it's pieces.....
 
Amna tunakutana tunaelekezana physical afu chess sio draft chess is more complex than draft...Ukiangalia io board na pieces zake utaona tofaut
 
Kwa mimi ambae siujui kabisa kucheza, utanifundishaje au inahusika na wale wenye idea tu??
 
Chess si mchezo mchezo hutumika mara nyingi kupima IQ za watu
 
Chess si mchezo mchezo hutumika mara nyingi kupima IQ za watu
Hi kweli but pia with practice IQ yako inaeza ikaongezeka...Watafiti wanadai na uwezo wa kumemorize vtu unaongezeka
 
Chess wanachezaga watu wenye ma-stress kwenye movie.
Fidel castro,che Guevara,Vladimir lennin,Benjamin Franklin...hawa ni kati ya watu maaruf kucheza chess na kufika viwango vya juu so it's not ka as u think io reputation yako uliochukulia kwny movie
 
Checkmate. Weka whatsapp link watu tujoin huko
Naupenda sana huu mchezo, lakini siwezi kuucheza. Nataka kujifunza. Niliona tu katika movie ya queen of kantwe
 
Okay it's basically ivi kuna picha niliituma ya jinsi ubao ilivo...Kila mmoja ana pieces 16 total ni 32 pieces...kila mmoja ana castle wawili,Knight wawili,bishop wawili na King mmoja na queen mmoja na pawns nane...So unlike draft uku ukiangalia board ilivo kwny ile picha nlioattach kwny thread utaona upangaji ni tofauti na draft na pieces znatofautiana unlike draft ambapo utafouti utatokea pale mtu atakapopata king..Kwny chess king wako akiuliwa game imeisha na ndo umefungwa so it's technically kama Vita...It's a very nice game
 
Checkmate. Weka whatsapp link watu tujoin huko
Naupenda sana huu mchezo, lakini siwezi kuucheza. Nataka kujifunza. Niliona tu katika movie ya queen of kantwe
Link ipo ya telegram ntaiweka just now
 
nmeweka telegram coz kuna vitu vnaeza jitokeza vya kushare large file ambapo watsap itazngua....Sorry nlikosea it's telegram
 
Back
Top Bottom