Mfukunyuzi
Senior Member
- May 30, 2012
- 125
- 9
eti kuna wa2 wanasoma doctor of medicine bugando ambao a'level walikua na total point of 5 yani dde, naomba msaada tafadhali kwa wenye ufahamu kuhusu hlo, thanks in advance wakuu

minimum points pale ni 7 for males na 6 for females..hubert kariuki, kcmc , st. francis na udom ndo wanaruhusu hiz points zako 5