Kwa wanaosafiri sijui huu ni ushamba?

Kwa wanaosafiri sijui huu ni ushamba?

Wengine huuliza umempikia mtoto uji na hiyo ni saa sita mchana,halafu sinzia kidogo baadaye simu tena baba John kesharudi,usingizi akiamuka kwani uko wapi saa hizi uwahi kurudi nyumbani,usingizi tena akiamuka nimekumiss mume wangu natamani nirudi leo leo,papo hapo anapiga kwenye kidumu kingine kesho nakuja nikufumanie ole nimkute mtu mwingine nitamung'oa kucha ,usingizi tena,akiamuka charge imeisha ,utasikia kaka samahani naomba simu niwajulishe kuwa nipo karibu Makandana waje kunipokea ,ukisafiri kuna burudani tosha

Hahahahaaa....
 
Utasikia mtu tangu anaanza safari asubuhi mpaka anafika safari yake jioni anapiga simu kila baada ya dakika kumi kutambulisha alipofika, utadhani kabeba pembe za ndovu..!!

Kuna watu wanajua kucare kama wewe huna wa kukucare just kaa kimya its non of your bussines
 
Napiga hesabu hapa: basi lina abiria 56, abiria 50 wana SIMU, afu abiria 40 wako busy kutoa mawasiliano juu ya safari kila baada ya muda! Na kati kati ya safari km hiyo anapanda muuza dawa za kichina!
Baadae anapanga mtu wa injili!
Wauza soda na korosho hao ndio usiseme!
 
Utasikia mtu tangu anaanza safari asubuhi mpaka anafika safari yake jioni anapiga simu kila baada ya dakika kumi kutambulisha alipofika, utadhani kabeba pembe za ndovu..!!

Mkuu ni sawa na wale ambao safari nzima wanakula kila atakachoona kinauzwa anaagiza matokeo yale hadi mwisho wa safari tuumbo..
 
mimi nakereka sana na wale wanaokula chakula toka mwanzo wa safari mpaka anafika mara ndizi, mahindi mara karanga duuu

Mi napendaga yule kila kituo ananunua viroba vya z na kujivutia ka master sport gari likita kuondoka mdomo unatema miksa, alafu anafunga mdomo wake na kaugorooooo hana habari na mtu

Hivi kama una kakitabu, kajarida au gazeti unajisomea ili kujiongezea ujuzi, maarifa au kupata taarifa mpya utakuwa kweli na muda wa kufuatilia jirani yako anakula mahindi, yai au nini sijui? Kama unasafiri mfano Dar to Mwanza hivi unateea kweli the whole trip uwe umekaa tu kuangalia abiria wenzako au kusinzia the whole trip?!

Napiga hesabu hapa: basi lina abiria 56, abiria 50 wana SIMU, afu abiria 40 wako busy kutoa mawasiliano juu ya safari kila baada ya muda! Na kati kati ya safari km hiyo anapanda muuza dawa za kichina!
Baadae anapanga mtu wa injili!
Wauza soda na korosho hao ndio usiseme!

dah pamoja sana
 
Sasa unataka je? Maana ya cm n nini?

Nafuu umwambie safari zina mengi hajui au?!

Huenda yeye mpost maada ndiye mshamba na mbaya zaidi hajajitambua kama ni mshamba bado hatara zaidi hata sredi hii ameeanzisha huku akiwa ni mshamba pia...

Huenda baada ya hizi komente ushamba wake waanza kumpungua...

Nipo kisiwa cha chumbe hapa naelekea inapoelekea sea ferry.
 
Who cares about your GPS?
 
Dear sasa hv uko wapi?
Yaan hadi raha sio safari unatoka mbeya to dar hata hauliziwi uko sehemu gan?mpaka unatua ubungo ndio anawapigia cmu
 
Mwingine akiwa kwenye basi eti ndo anaanza kupiga sim kwa watu anaowadai,na ndo hivo anashout weeeee...heeekh!
 
bora hao kuliko wanaosafiri dar to moro kufika kibaha mara kaagiza karanga mara mayai mara soda jamani km200 ndio unapakia kama unaenda mbeya ushamba huu
 
Na wewe ukisafiri uweke vocha za kukutosha ili upige simu, yawezekana unamuonea wivu mwenzio
 
Na wewe ukisafiri uweke vocha za kukutosha ili upige simu, yawezekana unamuonea wivu mwenzio anapoongea na simu,
 
Hoja ya kipuuzi kabisa hii

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom