Kwa wanaopenda movies kama mimi!

una sopranos series????

movies za denzel???

the goodfellas?
the godfather????

Una taste za kitaliano bro ...I can see even from your name."The Boss"

Hizo movie nimeona zote .
Series za The sopranos kama mtu ana internet yenye speed anaweza ku watch youtube

The godfather is the best of all time kwa wanaopenda movie of that kind.Ziko tatu umeona zote?
 
hakuna kinachoshindikana labda kama huko mbali ulipo ni mbinguni.
Hapana sipo mbinguni, ila umbali tuliokuwa nao, ni vigumu kubadilishana movies labda kwa kuzi burn kwenye dvds na kutumiana, njia nyingine ni kuwa na torrents zaidi ya hapo labda muwe mnaishi maeneo ya karibu.
 

thanx
nitajaribu na you tube..
 
Huna budi kuziona ndugu start with godfather ni ya miaka ya sabini director Fred Coppola ,based on novel of Mario Puzzo .

mimi zimeziona zote za godfather..

je wewe umeiona
the sicilian????
 
Tafuta bonnano the godfather story

halafu tafuta the valachi's paper
 

great collection.
 

Hapo sina 1, 6, 7 na 8!
Library yangu ina 200+ muvies
just a few:
1. Body armour,
2. Armoured,
3. Big Stan (Repack)
4. Redline
5. Expendables
6. Unstopable
7. XIII Conspiracy
8. From Paris with Love
9. Jack hunter
10. Hitman
11. Sharpshooter
12. The Mariner
14. Ninja Assasin
.......

Niko Dar, kama vipi niPM tufanye exchange mazee!
 

Nimesha ku PM mkuu!
 
una sopranos series????

movies za denzel???

the goodfellas?
the godfather????
mimi nina movies kadhaa za denzel na nina sopranos, godfather, roots, supernatural, kyle X, desperate housewives, Victory (V), lost, prison break, 24 na zingine series (namaanisha all seasons) ila hata mimi siishi Dar, nakuja kila baada ya miezi 3. if you PM me nitajiandaa nikuletee in may nitakapo pita hapo.
 
sometimes in april,
hoteli rwanda,
godizila,
jurasic park,
fast and furious,
death race,
naked weapon,
the heroic trio,
the touch,
twins mission,
house of fury,
dangerous flower,
the machine girl,
snake island,
viper,
snake on a plane,
hydra,
vipi hizo unazo hizo mkuu?
 

Hiyo kwenye blue ni nzuri mno kuliko Hotel Rwanda
 
jaman mi ni mlevi wa desperate housewives,any1 got season 1?
 
Kuna haja ya kuanzisha JF books and movies club,iwe formal kabisa na meeting day na venues zipangwe.Got too many movies hata siwezi kumaliza kuangalia zote.Would like to get some from u guys
 
Hapo pekundu ndio umeniua kabisa loh ,pia napenda za Mafia(Sicily family),za wazungu wa unga,na zile za longi za watu wa Texas wachunga ng'ombe far far west,huziita za makaboi teh teh
 
Kuna haja ya kuanzisha JF books and movies club,iwe formal kabisa na meeting day na venues zipangwe.Got too many movies hata siwezi kumaliza kuangalia zote.Would like to get some from u guys
Nakuunga mkono
 
ehh jaman wewe kaka
naomba movie wewe
mi sina nyingi bt i do like movies so plsssss....ntakuchek...NAPENDA ZA STOR SPEND ZA ACTION..
km vp ntakupm nikupe contact
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…