Sio lazima Steve, hata ngozi yetu nyeusi inaathirika sana na Sun exposure, isipokuwa ngozi nyeupe inapata madhara zaidi kuliko nyeusi hasa kansa ya ngozi na kuota makunyanzi haraka. Zamani nilikua nafikiri all these are for white people, ila nimegundua kuwa ngozi zote zinahitaji matunzo ijapokuwa zina tofautiana katika kupata madhara.