Kwa wanaohitaji kujiunga nasi Only Lowassa

Kwa wanaohitaji kujiunga nasi Only Lowassa

Twalb zubeir

Senior Member
Joined
Feb 23, 2015
Posts
143
Reaction score
51
Only lowassa 2⃣0⃣1⃣5⃣.

Uongozi wa only lowassa umemaliza kikao chake kilicho chukua zaidi ya masaa manne, kilicho kuwa na agenda kuu mbili:-

1-safari ya matuimani
2-flana kwa wajumbe

katika agenda hizo wajumbe walitumia masaa yao yote kujadili ni namna gani wana group watakwenda kuweka historia mpya siku ya tarehe 30/05/2015 jijini arusha,

hivyo,wajumbe wamefikia muafaka kuchukua costa special itakayo ondoka dar es salaam hadi arusha, usafiri ambao unategemewa kuchukua wapenzi na marafiki wa only lowassa katika mikoa ya dar es salaam, pwani na tanga. Kwa wale waliopo katika mikoa jirani, ya hiyo iliyo tajwa wanaweza kufika mikoa hiyo na kupata usafiri. Kinachotakiwa ni kuwasiliana na cordinator wa mkoa husika ili kuwa nae pamoja.

Wajumbe pia wanaruhusiwa kuja na wapenzi wa lowassa siku hiyo kwa utaratibu huo huo ulio elezwa hapo juu.

Gharama:-

wajumbe wamependekeza kwa kina na umakini,kuwa kila atakaye enda na ni mpenzi aliye tayari kuchangia sh. 50000/= ya usafiri wa kwenda na kurudi, na kwa wale wasio hudhuria kwa sababu mbali mbali wameombwa kuchangia sh.10000/= ili kusaidia mahitaji ya wasafiri.

Usafiri wa gari ni :- 1800000 kwenda na kurudi,

basi linachukua abiria 27.

Hivyo hata wakienda watu 27 kwa sh.50000/= kila mmoja bado haitakidhi hitaji lengo,

*hivyo kwa umoja wetu tujitokeze kwa wingi,

*tuchangie kama hatuendi,

*tuhamasishe ndugu,jamaa na marafiki kuwa nasi pamoja.

Tunafanya hivi kwa mapenzi yetu, mungu wetu na taifa letu.

Michango yote yawasilishwe kwa mshika fedha wa only lowassa kwa namba zifuatazo:-

tigo pesa-0713641124
voda m pesa- 0758092400.

Jina la namba zote ni�� erica stambuli

angalizo❗: munaombwa kupiga simu kwanza kwa anaye pokea pesa ili kuweka kumbukumbu sawa.

Nb: mwisho wa michango ni ijumaa hii saa saba kamili mchana.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na uongozi..

Wako,
head admin.

Hajji nyanya.

+255673786848( hotline )

+255799055505( whatsap )

Naomba kuwasilisha, na kutoa hoja maadhimio ya uongozi na cordinators wa only lowassa.

Chini ya kikao cha tarehe 26/05/2015.

Asanteni.
 
Hiki kituko kingine tena , sasa hapa ni Jukwaa la Siasa wewe unapitisha bakuli wakati Lowassa ameshakodi mabasi 12 kwa ajili ya kusomba watu kutoka dar kwenda Arusha baada ya kuona hatapata watu wa kutosha Arusha .....
 
ONLY LOWASSA 2⃣0⃣1⃣5⃣.

UONGOZI WA ONLY LOWASSA UMEMALIZA KIKAO CHAKE KILICHO CHUKUA ZAIDI YA MASAA MANNE, KILICHO KUWA NA AGENDA KUU MBILI:-

1-SAFARI YA MATUIMANI
2-FLANA KWA WAJUMBE

KATIKA AGENDA HIZO WAJUMBE WALITUMIA MASAA YAO YOTE KUJADILI NI NAMNA GANI WANA GROUP WATAKWENDA KUWEKA HISTORIA MPYA SIKU YA TAREHE 30/05/2015 JIJINI ARUSHA,

HIVYO,WAJUMBE WAMEFIKIA MUAFAKA KUCHUKUA COSTA SPECIAL ITAKAYO ONDOKA DAR ES SALAAM HADI ARUSHA, USAFIRI AMBAO UNATEGEMEWA KUCHUKUA WAPENZI NA MARAFIKI WA ONLY LOWASSA KATIKA MIKOA YA DAR ES SALAAM, PWANI NA TANGA. KWA WALE WALIOPO KATIKA MIKOA JIRANI, YA HIYO ILIYO TAJWA WANAWEZA KUFIKA MIKOA HIYO NA KUPATA USAFIRI. KINACHOTAKIWA NI KUWASILIANA NA CORDINATOR WA MKOA HUSIKA ILI KUWA NAE PAMOJA.

WAJUMBE PIA WANARUHUSIWA KUJA NA WAPENZI WA LOWASSA SIKU HIYO KWA UTARATIBU HUO HUO ULIO ELEZWA HAPO JUU.

GHARAMA:-

WAJUMBE WAMEPENDEKEZA KWA KINA NA UMAKINI,KUWA KILA ATAKAYE ENDA NA NI MPENZI ALIYE TAYARI KUCHANGIA SH. 50000/= YA USAFIRI WA KWENDA NA KURUDI, NA KWA WALE WASIO HUDHURIA KWA SABABU MBALI MBALI WAMEOMBWA KUCHANGIA SH.10000/= ILI KUSAIDIA MAHITAJI YA WASAFIRI.

USAFIRI WA GARI NI :- 1800000 KWENDA NA KURUDI,

BASI LINACHUKUA ABIRIA 27.

HIVYO HATA WAKIENDA WATU 27 KWA SH.50000/= KILA MMOJA BADO HAITAKIDHI HITAJI LENGO,

*HIVYO KWA UMOJA WETU TUJITOKEZE KWA WINGI,

*TUCHANGIE KAMA HATUENDI,

*TUHAMASISHE NDUGU,JAMAA NA MARAFIKI KUWA NASI PAMOJA.

TUNAFANYA HIVI KWA MAPENZI YETU, MUNGU WETU NA TAIFA LETU.

MICHANGO YOTE YAWASILISHWE KWA MSHIKA FEDHA WA ONLY LOWASSA KWA NAMBA ZIFUATAZO:-

TIGO PESA-0713641124
VODA M PESA- 0758092400.

JINA LA NAMBA ZOTE NI👉 ERICA STAMBULI

ANGALIZO❗: MUNAOMBWA KUPIGA SIMU KWANZA KWA ANAYE POKEA PESA ILI KUWEKA KUMBUKUMBU SAWA.

NB: MWISHO WA MICHANGO NI IJUMAA HII SAA SABA KAMILI MCHANA.

KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NA UONGOZI...

Wako,
Head Admin.

Hajji Nyanya.

+255673786848( hotline )

MMwenyekiti,

Max-Luhanga,

0718 997 733

🙏 NAOMBA KUWASILISHA, NA KUTOA HOJA MAADHIMIO YA UONGOZI NA CORDINATORS WA ONLY LOWASSA.

CHINI YA KIKAO CHA TAREHE 26/05/2015.

Asanteni.........
 
Wakuu naomba huo utaratibu usiishie dar pekee naomba walioko kahama na shinyanga na sisi tujipange twende zetu,hivyo yeyote atakayesoma hii posti yangu anijulishe utaratibu wa kufika huko.
 
Team Lowasa mnaweweseka sana

Ameshatoswa labda mnaenda kumlia nyama za bure

Psychologically jiandaeni sana
 
Mbona Lowasa anatumia nguvu nyingi sana kutaka kwenda ikulu?anataka kwenda kufanya nini huko ikulu.
CCM lazima mtambue ikulu siyo pango la mafisadi
CCM lazima mtambue ikulu siyo wodi ya wagonjwa.
Safari ya matumini itaishia kwenye safari ya huzuni kabla 12.06.2015
VOTE FOR UKAWA.
 
ONLY LOWASSA 2⃣0⃣1⃣5⃣.

UONGOZI WA ONLY LOWASSA UMEMALIZA KIKAO CHAKE KILICHO CHUKUA ZAIDI YA MASAA MANNE, KILICHO KUWA NA AGENDA KUU MBILI:-

1-SAFARI YA MATUIMANI
2-FLANA KWA WAJUMBE

KATIKA AGENDA HIZO WAJUMBE WALITUMIA MASAA YAO YOTE KUJADILI NI NAMNA GANI WANA GROUP WATAKWENDA KUWEKA HISTORIA MPYA SIKU YA TAREHE 30/05/2015 JIJINI ARUSHA,

HIVYO,WAJUMBE WAMEFIKIA MUAFAKA KUCHUKUA COSTA SPECIAL ITAKAYO ONDOKA DAR ES SALAAM HADI ARUSHA, USAFIRI AMBAO UNATEGEMEWA KUCHUKUA WAPENZI NA MARAFIKI WA ONLY LOWASSA KATIKA MIKOA YA DAR ES SALAAM, PWANI NA TANGA. KWA WALE WALIOPO KATIKA MIKOA JIRANI, YA HIYO ILIYO TAJWA WANAWEZA KUFIKA MIKOA HIYO NA KUPATA USAFIRI. KINACHOTAKIWA NI KUWASILIANA NA CORDINATOR WA MKOA HUSIKA ILI KUWA NAE PAMOJA.

WAJUMBE PIA WANARUHUSIWA KUJA NA WAPENZI WA LOWASSA SIKU HIYO KWA UTARATIBU HUO HUO ULIO ELEZWA HAPO JUU.

GHARAMA:-

WAJUMBE WAMEPENDEKEZA KWA KINA NA UMAKINI,KUWA KILA ATAKAYE ENDA NA NI MPENZI ALIYE TAYARI KUCHANGIA SH. 50000/= YA USAFIRI WA KWENDA NA KURUDI, NA KWA WALE WASIO HUDHURIA KWA SABABU MBALI MBALI WAMEOMBWA KUCHANGIA SH.10000/= ILI KUSAIDIA MAHITAJI YA WASAFIRI.

USAFIRI WA GARI NI :- 1800000 KWENDA NA KURUDI,

BASI LINACHUKUA ABIRIA 27.

HIVYO HATA WAKIENDA WATU 27 KWA SH.50000/= KILA MMOJA BADO HAITAKIDHI HITAJI LENGO,

*HIVYO KWA UMOJA WETU TUJITOKEZE KWA WINGI,

*TUCHANGIE KAMA HATUENDI,

*TUHAMASISHE NDUGU,JAMAA NA MARAFIKI KUWA NASI PAMOJA.

TUNAFANYA HIVI KWA MAPENZI YETU, MUNGU WETU NA TAIFA LETU.

MICHANGO YOTE YAWASILISHWE KWA MSHIKA FEDHA WA ONLY LOWASSA KWA NAMBA ZIFUATAZO:-

TIGO PESA-0713641124
VODA M PESA- 0758092400.

JINA LA NAMBA ZOTE NI👉 ERICA STAMBULI

ANGALIZO❗: MUNAOMBWA KUPIGA SIMU KWANZA KWA ANAYE POKEA PESA ILI KUWEKA KUMBUKUMBU SAWA.

NB: MWISHO WA MICHANGO NI IJUMAA HII SAA SABA KAMILI MCHANA.

KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NA UONGOZI...

Wako,
Head Admin.

Hajji Nyanya.

+255673786848( hotline )

MMwenyekiti,

Max-Luhanga,

0718 997 733

🙏 NAOMBA KUWASILISHA, NA KUTOA HOJA MAADHIMIO YA UONGOZI NA CORDINATORS WA ONLY LOWASSA.

CHINI YA KIKAO CHA TAREHE 26/05/2015.

Asanteni.........
 
Huu muda wa kukaa vikao masaa manne na kusafiri hadi Arusha na kurudi mngeweza kuutumia kufanya mambo yenye maana zaidi. Sidhani kama itasaidia kuongeza nguvu ya chochote kile maana hakuna agenda ya maana inayowapeleka huko. Mchukue tahadhari, bara bara zetu hazifai kwa mwendo wa Mabasi mengi, ajali ni nyingi na ajali nyingi hutokea kwenye mikutano ya CCM wanapokuwa wanarudi. MANI zumbemkuu tpaul lusungo BAK na wengineo kuna lift ya Arusha hapa, kama unataka kwenda kusalimia ndugu
 
Last edited by a moderator:
Mbona kuna mabasi tayari yameandaliwa kubeba watu?hii michango mnayokusanya ni mwendelezo wa ufisadi mnaoufanya nyie wafuasi wa fisadi mkuu.
 
Karibuni sana arusha safari ya matumaini inapoanzia...huku tumejipanga vizuri kwaajili ya siku hii ya kihistoria.
 
..............Ukiulizwa Arusha kuna nini tarehe 30/05 sema SAFARI YA MATUMAINI!!!
 
Mkuu kwenye hiyo safari ya matumaini kwa kila mtanzania pilau litapikwa?
 
Back
Top Bottom