Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 21,854
- 26,094
safi sana tupo pamoja sana/ Kwa umoja huu tutafika kunako!
Team Lowasa mnaweweseka sana
Ameshatoswa labda mnaenda kumlia nyama za bure
Psychologically jiandaeni sana
Mbona kuna mabasi tayari yameandaliwa kubeba watu?hii michango mnayokusanya ni mwendelezo wa ufisadi mnaoufanya nyie wafuasi wa fisadi mkuu.
Lowasa ndio nani? Msaada tafadhali
Mbona Lowasa anatumia nguvu nyingi sana kutaka kwenda ikulu?anataka kwenda kufanya nini huko ikulu.
CCM lazima mtambue ikulu siyo pango la mafisadi
CCM lazima mtambue ikulu siyo wodi ya wagonjwa.
Safari ya matumini itaishia kwenye safari ya huzuni kabla 12.06.2015
VOTE FOR UKAWA.
Hiki kituko kingine tena , sasa hapa ni Jukwaa la Siasa wewe unapitisha bakuli wakati Lowassa ameshakodi mabasi 12 kwa ajili ya kusomba watu kutoka dar kwenda Arusha baada ya kuona hatapata watu wa kutosha Arusha .....