Kwa wanaohitaji kufahamu kuhusu wenyeji wa Makete pitia hapa

Madihani

JF-Expert Member
Apr 30, 2015
6,081
6,916
Habari wana Jamii.

Utaelewa wanaoitwa Sanga wanapatikana maeneo gani ndani ya Wilaya na wamekuwa kama ni Wenyeji lakini ni wageni walio ingia baadhi ya maeneo ya wilaya na kuonekana wao ndio wenyeji kumbe ni wageni waliovamia.

1.Tarafa ya Matamba(Ikuwo,Mfumbi,Kitulo,nk) ni Wawanji lakini Sanga wapo.

2.Tarafa ya Bulongwa(Kipagalo,Luwumbu nk).Wengi ni Mahanji na Wakinga wachache lakini Sanga wapo eneo lote la tarafa ya Bulongwa kuanzia Ilevelo(jirani na ziwa Nyasa) hadi Zambia hadi Madihani ni Wamahanji tu lakini Sanga wapo.

3.Tarafa ya Lupila inayopakana na Ziwa Nyasa ni Wakinga tu na Sanga ndio wengi.

4.Tarafa ya Lupalilo(Makete mjini(Iwawa),Tandala,nk) ni Wakinga tu na Sanga wapo.

5.Tarafa ya Magoma(Ipelele,Iniho,Kigulu)inayopakana na Mbeya ni Wamagoma na Wanyakyusa,Sanga wapo.

Sanga wapo wilaya yote ya Makete tofauti wengine kama Mbilinyi wanapatikana wengi Lupalilo.

Watu wa Makete wanatumia majina haya;
Sanga,Mbilinyi,Mahenge,Kyando,Luvanda,Mbogela,Fungo,Ngajilo/yilo,Mvela,Tweve,Chaula,Swalo,Nkwama nk na waliosahaulika.

CC Bujibuji Bujibuji Mnyakyusa unaeleta uongo hapa Jf.
 
Wilaya zinazopakana na ziwa Nyasa ni Nyasa ipo Ruvuma,Ludewa ipo Njombe na Kyela ipo Mbeya.
f8f833afe9e1c1dad9384c4c807e7d01.jpg

7552c120a0aa2c3a6043018aef860f17.jpg

Jiulize kwanini Ludewa na Kyela hazipakani.
Tatazo kati ya Makete na Ziwa Nyasa ni milima mikali sana hakuna makazi wala miundombinu.
 
Na sema pa uongoo bcse ni wilaya kongweee sana lakini maendeleo hakuna nachoshauri wakinga mjenge kwenuuu matajiri nchiii ni hao hao
 
Vile vile kingine kinachonishangaza iweje iwe wilaya inayoongoza kwa UKIMwi wakati hakuna starehe yeyote kule yani ni vumbi tu nashindwa kuelewa kwa kweli
 
Back
Top Bottom