Kwa wanaofahamu kampuni za minara Dar-es-salaam

Kwa wanaofahamu kampuni za minara Dar-es-salaam

Sincro wanacontrol minara ya voda na tigo kwa upande wa power zaid so Sincro nafasi wanazotoa huwa ni za waliosoma Electrical na mechanical engineering
Ok..comment yako ili iwe na maana zaidi mwambie hizo kampuni ambazo wanaajiri watu wa telecom.
 
Back
Top Bottom