Kwa wanaofahamu kampuni za minara Dar-es-salaam

R-one

Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
85
Reaction score
26
Habari zen wana jf.

Wadau naulizia kwa yeyote mwenye kuzijua kampuni zinazohusika na shughuli za minara hapa Dar tukajaribu bahati yetu, huwa nasikia wanachukua sana watu kwenda katika site ila tatizo hadi upate data au uwe na mtu huko.

Itakua vizuri kama mtu atataja kampuni zaid ya moja au tarifa ya kampuni husika kama wanahitaji watu. Nina shahada ya mawasiliano (BSc. Telecommunication Eng).

Tusaidiane wadua maisha yanabana najua wapo watakaosema ujiajiri nao vizuri wakaweka mawazo yao kwani najua wengi watafaidika hapa ila wakumbuke mtaji tatizo na kupata mikopo siku hizi masharti yanafika mbinguni.

Natakuliza shukrani kwako mdau.
 
Reime Tanzania
Amazzi
JTS
Maktech
Fabec
Yegotech
Leadcom
Three com
Intercom
Prime power
Linksoft n.k
 
fanya hivi ndugu tembelea hiyo link we search ELECTRICAL SPECIALIST CONTRACTORS UTAPATA ADDRESS BOTH PHYSICAL NA POSTAL pamoja na mawasiliano tumia google kusearch location nenda ofisi husika submitt cv yako kama wanauhitaji watakupa kazi...

Contractors Registration Board(CRB)
 
POMY eng,
ingia crb search electrical contractor au npm
 
Sasa hivi wanaocontrol minara ya Voda na Tigo ni Syncro Site Watch(SSW) sijajua ofisi zao ziko wapi ila wacheki kama wao pia wanaweza kuwa na kazi
 
ubarikiwe ngoja nijaribu kuwacheki nahisi watakuwa mikochen hawa
 
Wako mikochen karbia na kwa kituo cha mwl Nyerere
 
Habari zen wana jf.

Wadau naulizia kwa yeyote mwenye kuzijua kampuni zinazohusika na shughuli za minara hapa Dar tukajaribu bahati yetu, huwa nasikia wanachukua sana watu kwenda katika site ila tatizo hadi upate data au uwe na mtu huko.

Itakua vizuri kama mtu atataja kampuni zaid ya moja au tarifa ya kampuni husika kama wanahitaji watu. Nina shahada ya mawasiliano (BSc. Telecommunication Eng).

Tusaidiane wadua maisha yanabana najua wapo watakaosema ujiajiri nao vizuri wakaweka mawazo yao kwani najua wengi watafaidika hapa ila wakumbuke mtaji tatizo na kupata mikopo siku hizi masharti yanafika mbinguni.

Natakuliza shukrani kwako mdau.
Tembelea zoomtanzania.com nimeona kampun ya REIME wanahitaji watu.
 
Sasa hivi wanaocontrol minara ya Voda na Tigo ni Syncro Site Watch(SSW) sijajua ofisi zao ziko wapi ila wacheki kama wao pia wanaweza kuwa na kazi
Sincro wanacontrol minara ya voda na tigo kwa upande wa power zaid so Sincro nafasi wanazotoa huwa ni za waliosoma Electrical na mechanical engineering
 
Back
Top Bottom