Kwa wanandoa,wapenzi sikia hii! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wanandoa,wapenzi sikia hii!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KakaKiiza, May 11, 2011.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Maisha ni mazuri lakini sikuzote yana mikiki mingi!Ila kuna hili la simu za mikononi a.k.a Mobile!Ukiwa na mpenzi wako ukaona mmefikia hapa Basi Mmoja wene ajaribu kushuka ili mambo yaweze kwenda sawa!
  Nongelea hili swala la simu za mikononi a.k.a Mobile!Ikifika Mahali ukaona mwenzi wako Simu inakaa kiganjani ikitoka kiganjani hipo mfuko wa shati au Suruali naunaona imekuwa ni kila siku na ikiachwa lazima inakuwa imezimwa naukiiwasha ina Viro au Password Tambua kunakitu hakiitaji kugundulika nakitu hicho nimwiba mkali katika mapenzi yenu au katika ndoa yenu!!Vilevile kwa akina Mama,Dada ukiona simu Kiganjani ikitoka kiganjani hipo kwenye pochi naikipigwa mko wawili inapuuziwa!na labda ikipigwa msikilizaji anapiga hatua mbili pembeni kuisikiliza kwakisingizio hamsikilizani Jua kunakitu si cha kawaida na nimwiba mkali kwenye mahusiano yenu!!
  Tena ogopa watu unaowapigia simu unajibiwa simu hii imezuiwa kwamda!!Au akaunti yako hainafedha yakutosha kukuunganisha na simu hii!Ukiona hivyo ujue simu itaachwa kila mahali kwakuwa wanauhakika hakuna wakumfikia na sms haziwezi kuja!Nazaidi ukiona uliyenaye ukirudi simu utadhani ajapiga simu au kupigiwa tangu asubuhi jua hapo kunakitu!!Machana mwema!!Wana JF hizo nitipu za Simu nya mkononi!!:phone:
   
 2. Nyati

  Nyati JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2011
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 2,043
  Likes Received: 383
  Trophy Points: 180
  ???????????????????????? !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 3. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  dah,
  nimetumia nguvu nyingi kweli,
  kukuelewa kiongozi!!!!!!!
  Asante kwa Angalizo!!!!!
   
 4. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Mapenzi yanautesa moyo weeeeeeeee, mapenzi yanaumiza moyoooooo! niko mbali na masongangeeee................................
   
 5. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  njoo utulize mtima wangu...........................
   
 6. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Nimetumia guvu sanakusoma thread yako ila nimekusoma ahsante kwa mawazo yako
   
 7. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Poleni kwani naona nimvua za asubuhi lakini nimerekebisha kama kuna mahali hamjapaelewa nitawarekebishia kwa ajili ya wasomaji wapya asanteni sana kwakuona upungufu wangu!Tupo pamoja!
   
 8. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #8
  May 11, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Ukimchunguza sana bata huwezi kumla kamwe, furahia maisha acha kujitafutia presha za rejereja
   
 9. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #9
  May 11, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,476
  Likes Received: 5,716
  Trophy Points: 280
  mmh kaharufu ka freemassons kwenye ndoa zetu tena??
   
 10. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #10
  May 11, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  mapenzi kizunguzungu.....:bange:
   
 11. Ngwada

  Ngwada Member

  #11
  May 11, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mmmmmm.....!!!!!!!???????
   
 12. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #12
  May 11, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ukitaka kuugua magonjwa sugu na msomgo wa mawazo fuatilia simu ya mwenza wako!
   
 13. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #13
  May 11, 2011
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  sikubaliani na allegations za mtoa mada. sio kweli kuwa kila aendapo mtu na cm maana yake anaficha kitu. wengine ni mazoea ya kujifunza. cm nikitu unachokutana nacho baadae kwenye maisha. ni rahisi kukisahau. kwa hiyo unaji-train kuikumbuka whenever you go ili usije isahau sehemu nayo ikatoweka. kumbuka kwa wengine wetu cm inakuwa na taarifa nyingi sana ambazo ukizipoteza tu ghafla ghafla unarudi nyuma steps kadhaa kimaisha. so sio kweli kuwa kuna jambo unaficha. na hata hivyo ungependa kuchunguza simu ya mwenza wako ili iweje?
   
 14. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #14
  May 11, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Jamni si kila mtu ana simu yake, ya mwenzako ya nini? unataka presha ya bure!
   
 15. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #15
  May 11, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,460
  Likes Received: 3,715
  Trophy Points: 280
  Achana na simu ya mwenzako
  usijitakie pressure kupanda mara pressure kushuka
   
 16. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #16
  May 11, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Teh teh,ama ukiona mwenza wako kila akija home simu iko silent! Ila ww tulia tulii,kuna siku atajikanyaga mwenyeewe.Unajua shetani nae akimchoka mtu,anamvua nguo hadharani!
   
 17. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #17
  May 11, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Huyo mwenza akitumia akili akakupa uhuru na simu yake wala hutohangaika nayo!!Watu hua wanapata wasiwasi mwenzi akianza kukumbatia simu kama mtoto...
   
 18. N

  Nsagali Member

  #18
  May 11, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kazi kweli kweli
   
 19. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #19
  May 11, 2011
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  hahaha....mie mambo ya cm ya mtu jamani ctakagi hata kuckia , lakini yeye ana kiherehere na yangu mbaya kabisa....
   
 20. H

  HAIKAH Member

  #20
  May 11, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mi yake natamani kuishika but sipendi aguse yangu ha h ah ah ah
   
Loading...