usimnyanyapae mtoto laleni nae mpaqka afikie umri wa kutosha,mtoto anahitaji kuwa karibu na mama yake wakati amelala ili kumjengea kujiamni na kuwa na akili njema.
watoto waliokosa joto la mama wakiwa wachanga mara nyingi wanakumbwa na ndoto za ajabu ajabu na wengine kuwachukia wanawake kama ni wa kiume na mwisho wana hatari ya kuwa mashoga.
@Buji hukumtendea haki. Joto la mama muhimu. Tamaa ya mwili ulishindwa kujizuia.Mwanangu alipozaliwa tu, akakuta kitanda chake tayari.
Habari wadau wa JF!
Mie na mke wangu tunalala kitanda kimoja na mtoto wetu mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi 8.Tumekuwa tukifikiria kumtafutia kitanda chake ili tuutumie uwanja wetu (kitanda) kwa uhuru zaidi.
Ila hatuna uhakika kama umri aliofikia ni muafaka kwa yeye kuhamia kwenye kitanda chake mwenyewe au la.
Hofu yetu ni kwamba, asije akawa ameshaanza kutupiga chabo tukiwa tunachuma matunda yetu.
​Naomba ushauri kwa wenzangu wenye watoto wa umri huu au wenye uzoefu kwenye suala hili.
Natanguliza shukrani
Hili ndo jibu la swali la mtoa maada na ndo hii kitu imefanya tofauti kubwa ya kitabia na kujiamini kati ya matoto yetu ya kibongo na matoto ya kizungu.Mwanangu alipozaliwa tu, akakuta kitanda chake tayari.
Habari wadau wa JF!
Mie na mke wangu tunalala kitanda kimoja na mtoto wetu mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi 8.Tumekuwa tukifikiria kumtafutia kitanda chake ili tuutumie uwanja wetu (kitanda) kwa uhuru zaidi.
Ila hatuna uhakika kama umri aliofikia ni muafaka kwa yeye kuhamia kwenye kitanda chake mwenyewe au la.
Hofu yetu ni kwamba, asije akawa ameshaanza kutupiga chabo tukiwa tunachuma matunda yetu.
​Naomba ushauri kwa wenzangu wenye watoto wa umri huu au wenye uzoefu kwenye suala hili.
Natanguliza shukrani
Since day one mtoto analala mwenyewe .Unaweka monitors ( sound and emotion detectors ) .Inajenga kujiamini kwa mtoto .Hujawahi ona mtu mzima Anaogopa kukaa mwenyewe .Mtu anakaa na roommates Hajiamini .USA 2 weeks mtoto anaenda Day care .usimnyanyapae mtoto laleni nae mpaqka afikie umri wa kutosha,mtoto anahitaji kuwa karibu na mama yake wakati amelala ili kumjengea kujiamni na kuwa na akili njema.
watoto waliokosa joto la mama wakiwa wachanga mara nyingi wanakumbwa na ndoto za ajabu ajabu na wengine kuwachukia wanawake kama ni wa kiume na mwisho wana hatari ya kuwa mashoga.
Day one akakaae Kwenye chumba chake inamfundisha kuwa independent weka baby monitor au camera with emotion detector .Inakuwa ngumu kwa sababu always wanakuja chumbani .kwani Hana chumba chake?mtoto akizaliwa lazima awe na chumba chake .kama wa kike tengeneza nursery room nzuri pink pink dolls and turn the room into Disney world atan'gang'ania chumba chake weka pink carpet ,nice comforter she will love .
mara ya mwisho umefika lini bongo?Since day one mtoto analala mwenyewe .Unaweka monitors ( sound and emotion detectors ) .Inajenga kujiamini kwa mtoto .Hujawahi ona mtu mzima Anaogopa kukaa mwenyewe .Mtu anakaa na roommates Hajiamini .USA 2 weeks mtoto anaenda Day care .
Raha tupu JF lol!usimnyanyapae mtoto laleni nae mpaqka afikie umri wa kutosha,mtoto anahitaji kuwa karibu na mama yake wakati amelala ili kumjengea kujiamni na kuwa na akili njema.
watoto waliokosa joto la mama wakiwa wachanga mara nyingi wanakumbwa na ndoto za ajabu ajabu na wengine kuwachukia wanawake kama ni wa kiume na mwisho wana hatari ya kuwa mashoga.
Wake up!Since day one mtoto analala mwenyewe .Unaweka monitors ( sound and emotion detectors ) .Inajenga kujiamini kwa mtoto .Hujawahi ona mtu mzima Anaogopa kukaa mwenyewe .Mtu anakaa na roommates Hajiamini .USA 2 weeks mtoto anaenda Day care .