wanandoa, ebu tuelezane ukweli hapa, hivi ni kwa lipi hasa linatufanya baadhi yetu tuwe tunatoka nje ya ndoa zetu ilhali tuna wenza wetu tunaowapenda kwa dhati? Hivi ina maana pale mnapofunga ndoa mmoja wenu huwa anadanganya au anajaribu ndoa au? Tunaweka mazingira yasiyovutia hasa kwa wale wasio kwenye ndoa kutotamani kuingia huko kwa kuwa kila kukicha wanachokisikia kuhusu ndoa ni bad news. Jamani karibuni tujuzane ni kwa nini hali hii imekithiri sana siku hizi, na ni namna gani tutajaribu kuelimishana ili basi tuachane na mambo hayo na kuheshimu ndoa zetu.
Nawasilisha.
hivi kweli hili ni tatizo lakukufanya uuze utu wako uvue suruali yako kidushelele kionekane kwingine ?if u real love your wife and she is not just a wife she is your close frende mna kaa chini unamwita mnaongea kwa utaratibu ,hiyo ni naturally nakumbuka mume wangu alinikanya the same story kuwa mapenzi yamehami akwa mtoto japo ilikuwa kweli fasta nilirudi kwenye mstari japo kwa kulazimisha mindi u mtoto mdogo anahitaji great care than his father na kila mmjaana nafasi yake kwangu n muda wake siwezi mpa mzigo wakati dogo ananyonya anaia kila kitu na wakati wakesometimes wake zetu wanajisahau sana
especially pale tunapobahatika kupata watoto
wengi wao wanakua tena hawajiangalii angalii kama zamani,penzi lote huhama na kuamia kwa watoto,hutusahau sisi waume zao,
sometimes upweke ndio unatufanya wengne kutafuta faraja nje,japo tunakiri ya kwamba tunafanya makosa
sometimes wake zetu wanajisahau sana
especially pale tunapobahatika kupata watoto
wengi wao wanakua tena hawajiangalii angalii kama zamani,penzi lote huhama na kuamia kwa watoto,hutusahau sisi waume zao,
sometimes upweke ndio unatufanya wengne kutafuta faraja nje,japo tunakiri ya kwamba tunafanya makosa
Kwanini gazeti la jirani tamu kuliko la kununua mwenyewe?
wanadai lako umelizoea la jirani kama jipya vile sasa la jirani ukishalizoea unaona nalo la zamani unaenda mtaa wa tatu ukichoka unarudi kwenye gazeti lako la nyumbani na kukumbuka kuwa hili gazeti ni lako hivyo huna budi kulitunza na kulipenda.
. Aliyenaye hangemwonage?[Take me as I am or watch me as I go] hehehehe kumbe mie sio mwanandoa napita jamani ila honestly ni tamaa za wanaume tu kisipite kitu wanakitaka nadhani wangeubwa Blind ndo ingekuwa poa wangetulia na mmoja maana wasingejua wamewapendea nn...
wanandoa, ebu tuelezane ukweli hapa, hivi ni kwa lipi hasa linatufanya baadhi yetu tuwe tunatoka nje ya ndoa zetu ilhali tuna wenza wetu tunaowapenda kwa dhati? hivi ina maana pale mnapofunga ndoa mmoja wenu huwa anadanganya au anajaribu ndoa au? tunaweka mazingira yasiyovutia hasa kwa wale wasio kwenye ndoa kutotamani kuingia huko kwa kuwa kila kukicha wanachokisikia kuhusu ndoa ni bad news. jamani karibuni tujuzane ni kwa nini hali hii imekithiri sana siku hizi, na ni namna gani tutajaribu kuelimishana ili basi tuachane na mambo hayo na kuheshimu ndoa zetu.
nawasilisha.
THE LAW OF DIMINISHING MARGINAL UTILITY!!!!!!!!! Baaaaaaaaaaaaaassss!