Kwa wanafunzi wa ardhi university.

HAMY-D

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
7,149
3,817
Kwa wanajukwaa wa elimu wale waliosoma au wanaoendelea kusoma pale ardhi university katika school of real estate studies(sres) tafadhari tufahamiane.
 
We uko mwaka wa ngapi kwan?

mi sisomi ardhi university ila kuna mdogo wangu yuko pale 1st year kuna vitu alikuwa anahitaji kutoka kwa waliopo au waliopita kwenye hiyo school ya real estate.
 
mi sisomi ardhi university ila kuna mdogo wangu yuko pale 1st year kuna vitu alikuwa anahitaji kutoka kwa waliopo au waliopita kwenye hiyo school ya real estate.

we unasoma wapi?
 
Kwani hawezi kuwapata palepale chuoni hadi uje jf..

anasema kwa sasa wengi hawapati pale chuo maana kuna shughuri hawajazimaliza nikimaanisha report writing,kwahiyo nikaona niulize humu jf kama wapo basi wafahamiane tena sanasana wa mwaka wa pili na kuendelea.
 
Back
Top Bottom