kweleakwelea
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 3,075
- 1,550
Wewe ni mwana CDM?Mzee/kijana uchaguzi umepita kula ugali ukalale. Subiri 2015
Yaani wee ovyo tu jamaa kasema wanacdm tu umeingiaje hum?Mzee/kijana uchaguzi umepita kula ugali ukalale. Subiri 2015
hta mimi nashangaa m nlikuwa wakala wa cdm kata ya kiranyi kituo cha kiurei ktk kata ya kiranyi ole kisambu alishinda kwa kishindo saana sio hapo tu bali cdm ilipata madiwan 6 kati ya 14 pia yeye na dr slaa walipata kura nyingi sana, cha ajabu hta gazeti la mwananchi lilitangaza kashinda ila ni yeye mwenyewe alijitokeza na kukunusha kushinda, jingine la kujiuliza ni ukwel kuwa Ole medeye mb na waziri alkuwa hakubaliki kihvo hta na wana CCM kwa hiyo wengi walimpa Ole kisambo. Baada ya kusikia kuwa yeye kakanusha ushindi baadhi ya kundi la mawakala na mimi nikiwepo tulimfata hapo mianzini ktk bar yake ya Top Maasai Boma lakini alituepa na kukimbia since then cjamuona ila kulikuwa na fununu kuwa kapokea hela na alichukulia advantage coz nguvu kubwa ya vijana na cdm ilikuwa mjini kwa Lema nlisikia kafungua kesi ila cjui ni vp? Tulijitolea nguvu nyingi na mda wetu afu katutenda
yani ndg yangu acha tu! Mi nimemshangaa sana,na mi naona kama vp wanCDM tuchunguze hili kwn jamaa ametuchafua ndevu kbs.hta mimi nashangaa m nlikuwa wakala wa cdm kata ya kiranyi kituo cha kiurei ktk kata ya kiranyi ole kisambu alishinda kwa kishindo saana sio hapo tu bali cdm ilipata madiwan 6 kati ya 14 pia yeye na dr slaa walipata kura nyingi sana, cha ajabu hta gazeti la mwananchi lilitangaza kashinda ila ni yeye mwenyewe alijitokeza na kukunusha kushinda, jingine la kujiuliza ni ukwel kuwa Ole medeye mb na waziri alkuwa hakubaliki kihvo hta na wana CCM kwa hiyo wengi walimpa Ole kisambo. Baada ya kusikia kuwa yeye kakanusha ushindi baadhi ya kundi la mawakala na mimi nikiwepo tulimfata hapo mianzini ktk bar yake ya Top Maasai Boma lakini alituepa na kukimbia since then cjamuona ila kulikuwa na fununu kuwa kapokea hela na alichukulia advantage coz nguvu kubwa ya vijana na cdm ilikuwa mjini kwa Lema nlisikia kafungua kesi ila cjui ni vp? Tulijitolea nguvu nyingi na mda wetu afu katutenda
WANAjf. nimeikuta hii katika comments za article katika gazeti la mwananchi.
je ni kweli? na ole kisambu ni nani?
comments by GILLIARD 2011-02-28 09:07
CHADEMA ni chama cha Watanzania walio makini sana na kazi zao za siasa.Msikubali
kukaa na watu wanaouza nafasi zao za uongozi wa CHADEMA kwa CCM. Mimi naishauri CHADEMA iende kule Arusha ichunguze pia kwa nini Ole Kisambu alishindwa kwenye jimbo la Arumeru Magharibi. Kuna tetesi kuwa huyu mzee aliuza nafasi yake ya umma wa CHADEMA kwa CCM. Naomba hili lifuatiliwe mapema sana.
ccm 36 075 cdm 27 187kwani mgombea wa chadema alipata kura ngapi na kwanini unahisi kuwa aliuza ushindi?
Hizi nazo ni propaganda za CCM. Kwa nini hatusemi kuwa walioshindwa CCM nao walinunuliwa? Tembo akijificha kwenye msitu wa matembele ataonekana tu.WANAjf. nimeikuta hii katika comments za article katika gazeti la mwananchi.
je ni kweli? na ole kisambu ni nani?
comments by GILLIARD 2011-02-28 09:07
CHADEMA ni chama cha Watanzania walio makini sana na kazi zao za siasa.Msikubali
kukaa na watu wanaouza nafasi zao za uongozi wa CHADEMA kwa CCM. Mimi naishauri CHADEMA iende kule Arusha ichunguze pia kwa nini Ole Kisambu alishindwa kwenye jimbo la Arumeru Magharibi. Kuna tetesi kuwa huyu mzee aliuza nafasi yake ya umma wa CHADEMA kwa CCM. Naomba hili lifuatiliwe mapema sana.