Kwa wanacdm tu - ole kisambu wa arumeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wanacdm tu - ole kisambu wa arumeru

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kweleakwelea, Feb 28, 2011.

 1. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #1
  Feb 28, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,422
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  WANAjf. nimeikuta hii katika comments za article katika gazeti la mwananchi.


  je ni kweli? na ole kisambu ni nani?  comments by GILLIARD 2011-02-28 09:07


  CHADEMA ni chama cha Watanzania walio makini sana na kazi zao za siasa.Msikubali
  kukaa na watu wanaouza nafasi zao za uongozi wa CHADEMA kwa CCM. Mimi naishauri CHADEMA iende kule Arusha ichunguze pia kwa nini Ole Kisambu alishindwa kwenye jimbo la Arumeru Magharibi. Kuna tetesi kuwa huyu mzee aliuza nafasi yake ya umma wa CHADEMA kwa CCM. Naomba hili lifuatiliwe mapema sana.
   
 2. K

  Kivia JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 278
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mzee/kijana uchaguzi umepita kula ugali ukalale. Subiri 2015
   
 3. f

  furahi JF-Expert Member

  #3
  Feb 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 947
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Wewe ni mwana CDM?
   
 4. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #4
  Feb 28, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Ukiwenda na yule aliyefukuzwa juzi mkutanoni,inaelekea wagombea ubunge wengi wa cdm walikubali zile milioni miatatu miatatu za ccm! Tutawajua tu!
   
 5. I

  Isekuu Member

  #5
  Feb 28, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaani wee ovyo tu jamaa kasema wanacdm tu umeingiaje hum?
   
 6. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #6
  Feb 28, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Ni kweli uchaguzi umepita,
  lakini je utafikaje huko 2015 bila ya kuwa na mikakti thabiti?
  utafikaje huko 2015 bila ya kuangalia hayo mapungufu ya nyuma??
  utafikaje 2015 bila kuweka maandalizi ya kutosha??
  A good 2moro is today.[QUOTE=Kivia;1677713]Mzee/kijana uchaguzi umepita kula ugali ukalale. Subiri 2015[/QUOTE]
   
 7. p

  politiki JF-Expert Member

  #7
  Feb 28, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  kwani mgombea wa chadema alipata kura ngapi na kwanini unahisi kuwa aliuza ushindi?
   
 8. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #8
  Feb 28, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  peoppplllllleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeesssssssssssssssssssssssssss powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
   
 9. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #9
  Feb 28, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  hta mimi nashangaa m nlikuwa wakala wa cdm kata ya kiranyi kituo cha kiurei ktk kata ya kiranyi ole kisambu alishinda kwa kishindo saana sio hapo tu bali cdm ilipata madiwan 6 kati ya 14 pia yeye na dr slaa walipata kura nyingi sana, cha ajabu hta gazeti la mwananchi lilitangaza kashinda ila ni yeye mwenyewe alijitokeza na kukunusha kushinda, jingine la kujiuliza ni ukwel kuwa Ole medeye mb na waziri alkuwa hakubaliki kihvo hta na wana CCM kwa hiyo wengi walimpa Ole kisambo. Baada ya kusikia kuwa yeye kakanusha ushindi baadhi ya kundi la mawakala na mimi nikiwepo tulimfata hapo mianzini ktk bar yake ya Top Maasai Boma lakini alituepa na kukimbia since then cjamuona ila kulikuwa na fununu kuwa kapokea hela na alichukulia advantage coz nguvu kubwa ya vijana na cdm ilikuwa mjini kwa Lema nlisikia kafungua kesi ila cjui ni vp? Tulijitolea nguvu nyingi na mda wetu afu katutenda
   
 10. L

  Leornado JF-Expert Member

  #10
  Feb 28, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Mzee Olekisambu aka Baba Jombii anazuga tu hamna cha kesi wala nini, huyu mzee anapenda pesa cjui mmasai wa wapi.
   
 11. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #11
  Feb 28, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Watu kama hao 2015 hatuwatak kuwaona
   
 12. Lasikoki

  Lasikoki JF-Expert Member

  #12
  Feb 28, 2011
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 642
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  yani ndg yangu acha tu! Mi nimemshangaa sana,na mi naona kama vp wanCDM tuchunguze hili kwn jamaa ametuchafua ndevu kbs.
   
 13. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #13
  Feb 28, 2011
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,856
  Likes Received: 2,432
  Trophy Points: 280
  sio kweli ...watu makini wameshafuatilia na hakuna ukweli wowote..ni uchonganishi wa ccm tu.
   
 14. g

  gidytitus JF-Expert Member

  #14
  Mar 1, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 332
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Rai na angalizo kwa wana CDM na viongozi wake , naombeni tuwe macho na hawa wazee wanaojifanya wanataka kugombea kwa tiketi za CDM, hawa ni wasaliti kwa 100% japo si wote lakini, naombeni hizi ngazi za Udiwani na ubunge Vijana tujitokeze kuzichukua, wazee wetu hawa hawana nia njema na kizazi hiki, urefu wa mawazo yao ni usawa wa pua, hawafikirii mbali. kuhusu huyo kisambu wa arumeru, sina uhakika ila ni kwa taarifa nlizozpata alipokea hiyo pesa, mi nmepgia kituo cha Makumira kma dent wa chuon, yan huwezi amin CDM ilikuwa inaongoza lakin matokeo yanakuja kutoka viti vyote vya CDM chini!!. Naongea hivi kwa sababu mpaka sasa sina imani na wazee ambao wapo bungeni (a.k.a shibuda) sijui nyie mnawaonaje but mi nshaanza kuwa na hofu nao , naombeni hata kama tutapata wakereketwa niaje wa CDM ambao ni wazee tafadharini msiwape kugombea hivo viti haraka kwa kudhani kuwa wao wana hekima na busara ya kutuongoza, jueni historia zao kwanza, SLAA na wenzake ndo basi tunauhakika na tunawaamini coz ndo wametuzaa kupitia huku, lakin hao wa kupokelewa na sie wakiwa ni vikongwe tayari, NooUU!!. Piga garagaza, au ukatae ukubali wazee wote wa sasa wana damu ya UCCM bado! ndo mana unaona wafuasi wengi wa CCM ni vikongwe na mababu na vijana wenye mawazo ya kizee! So hawa ukiona wameikubali CDM haraka na kutaka kuchukua uongozi kuptia CDM, weken pozi kwanza af muwachaboo kimakini, ndo hao akina Ole Kisambu, hao hawajabadilika bado! wana mioyo ya CCM ingawaje miili yao inonekana kuwa ya CDM. Chonde chonde chonde wana CDM!!!!
   
 15. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #15
  Mar 1, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  ccm 36 075 cdm 27 187
   
 16. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #16
  Mar 1, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hizi nazo ni propaganda za CCM. Kwa nini hatusemi kuwa walioshindwa CCM nao walinunuliwa? Tembo akijificha kwenye msitu wa matembele ataonekana tu.
   
Loading...