Kwa wana Udom

Geezzle

JF-Expert Member
Jul 25, 2012
849
267
Habari wadau., naomba kama kuna mtu mwenye soft copy ya majina ya mkopo kwa continuing students. Kuna mdogo wangu kaniambia kanyimwa mkopo na alikua anapata huko nyuma. Kimsingi simuamini sana. Nawasilisha
 
kwa Udom wapo kibao Mzee yaan kuna madogo kibao matokeo yao hayajapelekwa Bodi.
wengine mpaka sasa hawajaingiziwa matokeo yao ya suplimentary hii imefanya Bodi wasiwape mikopo

cha ajabu uongozi Wa chuo Upo kimya kwa hizi dosari ambazo zipo upande wao
 
Back
Top Bottom