Kwa Wana Mtwara: RAIS AMEWADHARAU MNOOOO

Kwa Wana Mtwara: RAIS AMEWADHARAU MNOOOO

IMETUFIKIA tupo pamoja hoja inamashiko sana.nikupongeze tu kwa hilo jina la ''FASTJET'' maana huyu jamaa kama RUBANI.......sijui anajifunza kurusha ndege?,alafu eti anataka tumu ite rais wa maendeleo....heee KILAZA weye!,we ni FASTJET tu hata ulalamike vp.

Haya maneno yana mchango gani kwa maendeleo zaidi ya kuwafanya muendelee kuwa nyuma. Tumia muda wako kuchangamkia fursa zilizopo na sio kupongezana ujinga.
 
Mawazo yanayoongozwa na chuki hupati shida kuyatambua. Kuna watu walitamani Mtwara yote iungue ndio wasikie raha, sasa roho inawauma sana kuona Mtwara kumetulia na wananchi wanashirikiana na serikali yao katika shughuli za maendeleo.
Watu wa namna hii sio wazalendo na hawana malengo mema na nchi yetu...
 
Kenneth [/QUOTE said:
weweee, yule pale ukiwa na jambo na wewe atakuvalia kanga tu, anaweza asikuambie direct, penda sana mambo ya taarab, kwa hiyo usibishe sana
 
IMETUFIKIA tupo pamoja hoja inamashiko sana.nikupongeze tu kwa hilo jina la ''FASTJET'' maana huyu jamaa kama RUBANI.......sijui anajifunza kurusha ndege?,alafu eti anataka tumu ite rais wa maendeleo....heee KILAZA weye!,we ni FASTJET tu hata ulalamike vp.

Yaan vifo Vya Ndugu zetu wa Mtwara kavirahisisha kweli, yaan issue ya CCM Kigoma ndo ime mtouch zaid kuliko Issue ya Mtwara.
 
Mantiki yake iko wapi?

Ulitaka aliyoyasema ayasemee Mtwara ili leo useme kuwa katutukana mbele yetu? Au ulidhani angesemea Mtwara maneno yangekuwa tofauti? Mimi sijaona mmoja wenu mwenye uthubutu wa kukanusha aliyoyasema, sana sana mnakuja na maneno ya kiswahili tu kuwa kwa nini kasemea hapo.

Hivi kama ni kweli wamefanya A B na C akisemea Mtwara na akisemea Lindi kuna tofauti au mmeishiwa tu hoja?

Acha nikusaidie kitu ndugu yangu, SIO KILA UJINGA NI WA KUUUNGA MKONO.

Kwani ya CCM Kigoma angeya present akiwa Dar isngeleta Maana, Mbona kaenda hadi Kigoma?
Yaan Damu ya Ndugu zetu kule Mtwara haina thaman kushinda miaka 36 ya Uhuru wa Magamba???
Mbona mna dhambi hivyo Jaman
 
Ukweli ni kwamba huyu mtu ni mbinafsi ndo maana amewajaza ma mbumbu kama waziri muongo/nishati na madini ILA KWA MTWARA TUTALIPUA MABOMBA YA GESI GHAFI WASIPOFUATA TUNAVYOTAKA
Nkuu Njomba, bandiko hili ni la uchochechii!, kwenye katiba mpya tunapenekeja, kitendo chochoti cha kuhuchumu mali cha wawekechaji iwe ni kosa la uhaini, na achabu yaki iwi ni kunyungwa mpaka kufwa!. Hivyo kama unapanga mipingo ya kulipua hili bombi la geshi, ujue ni kosa la uhaini!, na utanyogwa mpaka ufwe!.
Wee chubiria tuu hiyo katiba mpya utaona!.
P.
 
Back
Top Bottom