Kwa Wana Mtwara: RAIS AMEWADHARAU MNOOOO

Bramo

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Posts
13,230
Reaction score
10,201
Wakuu Habar zenu,

Nichukue fursa hii kuongea na Ndugu zetu kutoka Kusini, Mtwara in particular.
Ni juzi tu tumemsikia Rais (Fastjet) akiwaponda na kupotosha umma juu ya Madai yenu ya Msingi.
Tumeona pia Jinsi Pinda alivyokimbilia kuongea na Vyombo vya habari na Kupotosha Yale mliyo kubaliana Mtwara.
Katika zile siku ambazo mliudhihirishia ulimwengu na Serikali ya CCM Kuwa Nguvu ya Umma siku zote haishindwagi hata na Dola Adhimu.

Kipindi kile Fastjet alikuwa anakula zake Bata Ulaya na kubuzi buz na Rais wa Fifa.
Tuliona Jinsi Mara baada ya kurud tu akakimbilia Kwenye hotuba yake through TV kuwapondea na Kupotosha Madai yenu badala ya Kuja huko na kuwasikiliza kilio chenu.

Kitendo cha yeye kutokuja huko na kukimbilia TV ni matusi kwenu.
Leo kazidi kustaajabisha ijapokuwa mnaweza kuwa hamjamstukia kwa Kwenda Kigoma Kwenye shughuli za Chama chake.
Taarifa ya Habari ITV Leo usiku

Maswali ya Kujiuliza
Hivi huyu mtu alishindwa kuwafuata huko Mtwara kuwasikiliza akaishia kuwa tusi kwenye Media leo kakimbilia Kigoma kwenye shughuli zake za Kichama

My outlook

Kwa Fastjet yeye chama ni Kwanza mengine Baadae, yaani ameshindwa ku weigh kati ya Mtwara (Madai ya Kitaifa) na Kigoma (Mambo Ya CCM)
Hii ni Dharau kubwa sana kwenu wana Mtwara

cc THE BIG SHOW ,
Mkuu fikisha hii message kwa Ndugu zetu wa Kusini
he, wenyewe wapime waone kama content ya huu uzi ina mashiko ama la.
 
LET US STAND 2GATHER tuwang'oe hawa WATUKUTU.HII NI VITA YA PAMOJA,PAMOJA TUNAWEZA NA TUTASHINDA,hawa jamaa ni WEPESI na WACHACHE na wenye moyo wa kujitoa ni kama hawapo kabisa.LA MGAMBO LIKILIA KUNA _ _ _ _.
 
mkuu bramo,
heshima mbele mkuu,uliyoyaongea yana mantiki kubwa sana..
Wenye akili tumepima na tumeyazingatia..
 
Kwa hiyo gesi ya mtwara bora zaidi kuliko wale wanaouliwa wakitaka kuigomboa nchi yao kutoka kwenye jinamizi la muungano,mtwara wamezuia gesi
 
Kweli kina saatisa(kuni)wako wengi ni ukosefu wa ajira au ndo kinachowapelekea kuwa saatisa
 
Huu sasa jamani sio uchochezi huu?!.
P.

MAGAMBA mwoga wewe!!! Hata kama ni UCHOCHEZI, uchochezi mwingine ni MZURI hasa ule wa kuwanasua watu kwenye MAKUCHA ya WADHALIMU kama vile CCM. Mbona wapigania UHURU wote, Hata Mwalimu JK Nyerere walikuwa ni "WACHOCHEZI" against tawala DHALIMU zilizokuwepo nyakati zile?"
 
Rais alikua ana hutubia watanzania wote na sio wana Mtwara! Wewe ndio huelewi kabisa

Mbona ya CCM Kaenda Kigoma??
Angeenda TBCCM na kuhutubia Wana Magamba wote basi
 
mkuu bramo,
heshima mbele mkuu,uliyoyaongea yana mantiki kubwa sana..
Wenye akili tumepima na tumeyazingatia..

Deliver hii message kwa ndugu zetu Pleasssssse Mkuu the BIS SHOW
 
Last edited by a moderator:
Jamaa ni mnafiki, kumuamini ni kujitaftia dhambi tu
 
Ukweli ni kwamba huyu mtu ni mbinafsi ndo maana amewajaza ma mbumbu kama waziri muongo/nishati na madini ILA KWA MTWARA TUTALIPUA MABOMBA YA GESI GHAFI WASIPOFUATA TUNAVYOTAKA
 
Rais alikua ana hutubia watanzania wote na sio wana Mtwara! Wewe ndio huelewi kabisa

Nafikiri wewe ndo umeshindwa kuitafuta point,the issue is kwa nini ameshindwa kwenda Mtwara kulikoua watu,kulikoharibu fahamu za watu akaona rahirahisi tu na kukimbilia kigoma the truth is ni dhaifu wa hoja hajui angejibu nini always matatizo anakimbia na anakimbilia starehe yaani.........but all in all Napenda sana message ya Luckydube alivyokuwa anataka kuanza kuimba ule wimbo wa No Truth in this World, that the problems is we Tanzanian who are involving direct in the issue.........
 
Wakuu Habar zenu,

Nichukue fursa hii kuongea na Ndugu zetu kutoka Kusini, Mtwara in particular.
Ni juzi tu tumemsikia Rais (Fastjet) akiwaponda na kupotosha umma juu ya Madai yenu ya Msingi.
Tumeona pia Jinsi Pinda alivyokimbilia kuongea na Vyombo vya habari na Kupotosha Yale mliyo kubaliana Mtwara.
Katika zile siku ambazo mliudhihirishia ulimwengu na Serikali ya CCM Kuwa Nguvu ya Umma siku zote haishindwagi hata na Dola Adhimu.

Kipindi kile Fastjet alikuwa anakula zake Bata Ulaya na kubuzi buz na Rais wa Fifa.
Tuliona Jinsi Mara baada ya kurud tu akakimbilia Kwenye hotuba yake through TV kuwapondea na Kupotosha Madai yenu badala ya Kuja huko na kuwasikiliza kilio chenu.

Kitendo cha yeye kutokuja huko na kukimbilia TV ni matusi kwenu.
Leo kazidi kustaajabisha ijapokuwa mnaweza kuwa hamjamstukia kwa Kwenda Kigoma Kwenye shughuli za Chama chake.
Taarifa ya Habari ITV Leo usiku

Maswali ya Kujiuliza
Hivi huyu mtu alishindwa kuwafuata huko Mtwara kuwasikiliza akaishia kuwa tusi kwenye Media leo kakimbilia Kigoma kwenye shughuli zake za Kichama

My outlook

Kwa Fastjet yeye chama ni Kwanza mengine Baadae, yaani ameshindwa ku weigh kati ya Mtwara (Madai ya Kitaifa) na Kigoma (Mambo Ya CCM)
Hii ni Dharau kubwa sana kwenu wana Mtwara

cc THE BIG SHOW ,
Mkuu fikisha hii message kwa Ndugu zetu wa Kusini
he, wenyewe wapime waone kama content ya huu uzi ina mashiko ama la.

IMETUFIKIA tupo pamoja hoja inamashiko sana.nikupongeze tu kwa hilo jina la ''FASTJET'' maana huyu jamaa kama RUBANI.......sijui anajifunza kurusha ndege?,alafu eti anataka tumu ite rais wa maendeleo....heee KILAZA weye!,we ni FASTJET tu hata ulalamike vp.
 
Nafikiri wewe ndo umeshindwa kuitafuta point,the issue is kwa nini ameshindwa kwenda Mtwara kulikoua watu,kulikoharibu fahamu za watu akaona rahirahisi tu na kukimbilia kigoma the truth is ni dhaifu wa hoja hajui angejibu nini always matatizo anakimbia na anakimbilia starehe yaani.........but all in all Napenda sana message ya Luckydube alivyokuwa anataka kuanza kuimba ule wimbo wa No Truth in this World, that the problems is we Tanzanian who are involving direct in the issue.........

KILAZA anajifanya Mwerevu ila mbele giza.ukumbuki alivyo ulizwa kwa nini TZ masikini? majibu yake umesahau........hana hoja huyu ni DHAIFU.
 
mkuu bramo,
heshima mbele mkuu,uliyoyaongea yana mantiki kubwa sana..
Wenye akili tumepima na tumeyazingatia..

Mantiki yake iko wapi?

Ulitaka aliyoyasema ayasemee Mtwara ili leo useme kuwa katutukana mbele yetu? Au ulidhani angesemea Mtwara maneno yangekuwa tofauti? Mimi sijaona mmoja wenu mwenye uthubutu wa kukanusha aliyoyasema, sana sana mnakuja na maneno ya kiswahili tu kuwa kwa nini kasemea hapo.

Hivi kama ni kweli wamefanya A B na C akisemea Mtwara na akisemea Lindi kuna tofauti au mmeishiwa tu hoja?

Acha nikusaidie kitu ndugu yangu, SIO KILA UJINGA NI WA KUUUNGA MKONO.
 
Back
Top Bottom