Mkiwa na shida yoyote ya hesabu nyie semeni msihofu maana kuna watu huku tumebobea kwa hesabu. Kwa pamoja hesabu inawezekana na ni rahisi mno. Nasema hvyo kwa vile kwenye hesabu kama unajua itakuwa hvyohvyo tuu na si vinginevyoa
Mkuu inaonekana hukusoma zile enzi za andika namba inayofuata katika mfulululizo huu....mfano 2, 4,8.....Hesabu kama hizi huwa hazina kanuni wakati mwingine haihitaji kuumiza akili sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.